Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.

Huo mchezo hauhitaji hasira, hauhitaji papara, hauhitaji kushangaa hauhitaji mtu asiyejua......

Huo mchezo unahitaji ujanja, ujuzi na kubambana tuu...... mbaa mbaaa ila usibake tuu hehehehee (simoooooo)

With all dual respect........... mtongozo kwa mdada una sukari yake atii japo haifikii sukari ya rungu😉!!

Kasie.
 
Hivi wewe nilikutongozaga au ulijileta mwenyewe?
 
Fafanua tafadhali..sijakupata hapo.
Kwenye sex for love mwanamke anampenda sana au kumtamani mwanaume anayejiamini au naweza sema a bolded man. Na pia hupendezwa na sauti ya kiume wakati wa kutongozwa tena kama na wewe ni mtundu kama mimi unatakiwa uitoe sauti yako yote na uzito wake na unakuwa kama unamnong'oneza tena inakuwa ni ya kimahaba na ukimtamkia maneno machafu na uchafu wote unaotaka ukamfanyie.Hapa wanawake wa dizaini kama huyo huanza kuwaka ashki na kufall in love kabla hata hujamuingizia na utapendeza zaidi ukionekana unachomwambia ndicho unacho maanisha.Sasa alitaka umpatie kwanza vitu hivi kabla hajaenda kukuvulia chupi na alikutegemea utafit kwa 100%.
 
Inaelekea aliona unamletea Mapicha Picha hakuelewi...itakua katoto hako
 
Alitaka umdanganye danganye.. Kwamba unampenda ujaona mwingine zaidi yake, na Sex siyo lazima ila kama ukitaka nitafanya kwani baby utaninyima nikiomba?.. ha ha ha .. Na yeye ajibu Jamani wewe siku moja tu unataka wewe ha ha jamani huku akikulalia lalia mabegani.. Na kukutoa uchafu Wa uongo uongo

Umwambie utamuoa kiruuu
Miss chagga hii paragraph yako lazima nikaifanyie kazi....aisee hapo siwezi toka kapa lazima mtu aingie kingi.
 
Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.

Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.

Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.

Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.

Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.

Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?

Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Hili ndo Tatizo la kuishi muda mrefu ktk nchi za kishenzi zilizolaaniwa na Mungu.
 
Daaahh kweli bongo kwa ektin tu kiboko!demu unaweza kufika nae hadi geto ukimvua anauliza unataka kufanya nn?!hehehe ndo mana wanawake wengi huku bongo anaweza kukupenda na asiseme hadi mapenzi yanaexpire ndo anakuja kukwambia nilikuwa nakupenda sana!heheheh
Halafu anaongezea kuwa, nilikupenda sema tu ulinipotezea. Hapo ukute ushafanya juhudi zote na kumaliza sarakasi mpaka za akiba katika kumfuatilia na yeye kukwambia hakutaki. Halafu baada ya miaka,ukiwa umeoa ndio unasikia kauli za kikuda kama hizo.
 
That's so stupid, though.

I mean, this whole entire time you've seen me ogling you but you wanna play dumb and act like you don't know what time it is?

Ain't nobody got time for that.
The best move you have to make when she acts dumb like that,is to play even dumber. Pretend she misinterpreted your actions and ignore her. I hate child play when it comes to serious matters!
 
Let's take a trip to Jamaica, go to London see double deckers
Get away from all the fakers, go mingle with money makes
Baby you're fly, when I'm with you I don't wanna say bye
No lie, you don't need another guy
What you need Imma buy
Better yet, imma provide
The love, companionship, the house and the ride
Cause I'm cut from a different cloth
Soup from a better broth
None of that lazy sloth
I'm the boss and the servant, both.
So, lend me your ear, have no fear right here
Kiranga Cha Ngeda, your gentleman is near
Valley she is lucky to have you your love to me is like a Wonder
your Thoughts make me Ponder
Clueless I find myself when I think about you
Best time pass for me is to Wonder about You....

Napenda vile unanisurprise kila siku dume langu la kisukuma
 
Hivi wewe nilikutongozaga au ulijileta mwenyewe?

Uthubutu wa kunitongoza wakati ule haukuwa nao sana sana uliishia kunitumia picha yako ukiwa kwenye party na Heineken yako mezani.... (hegehee) halafu kuonesha kuwa ndo umemaliza kunitongoza ukanitumia na dedication wimbo wa Whitney Houston wa "I love you" atii nisikilize huo wimbo maneno yake ndo unanitongoza hehehehehe. .......Kweli wakati ukuta. Ulikuwa yankii very young.
Ati leo unaitwa baba Kisura 😀😀
 
Alitaka umdanganye danganye.. Kwamba unampenda ujaona mwingine zaidi yake, na Sex siyo lazima ila kama ukitaka nitafanya kwani baby utaninyima nikiomba?.. ha ha ha .. Na yeye ajibu Jamani wewe siku moja tu unataka wewe ha ha jamani huku akikulalia lalia mabegani.. Na kukutoa uchafu Wa uongo uongo

Umwambie utamuoa kiruuu
hahaha
 
Miss Chagga ulipotelea wapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom