Nope, nope, nope, nope!
Sijachanganya hata kidogo mzeee.
Wewe kuna mambo huwa unayazidisha hapa kuhusu mshua wako na wakati hayapo hivyo kama yalivyo.
Unadanganya ili kupata legitimacy to what you speak.
Mosi ukasema mzee kasoma
USA Tangu bachelor, huo ni wongo. Mzee kasoma UDSM first degree.
Pili,Ukasema Mzee hajasaidiwa na serikali, huu ni wongo Nyerere aliwaunganishia dili kusoma kupitia The Rockefeller Foundation.
Tatu, unasema mzee alikuwa Professor, huu ni wongo mzee wako alikuwa na PhD tu unaficha ili wasimjue tu. He's a professor by virtue of being a University teacher.
Nne, kuhusu kusoma USA ukweli tunaujua mimi na wewe na jinsi uanvyopindisha hapa.
Bwahahahahahahahahah teh teh
Nlitaka tu uje huku nikuweke kisu cha shingo leo.
Sasa
UncleBen na
FisadiKuu mkishindwa hapa basi tena