Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,080
- 136,554
- Thread starter
- #121
Mi naona its better to let things happen naturally... Hii ya kutongozwa.. Unajazwa uongo ambao hauna ata faida kwako.
Cosigned!
Mi naona its better to let things happen naturally... Hii ya kutongozwa.. Unajazwa uongo ambao hauna ata faida kwako.
Kwahiyo mkuu Nyani Ngabu ulitongoza??FisadiKuu Get over here ASAP!
We have got some dust to spill.
You just wait till I get my hands on you...
You will live to tell a tale!
Juzi alituaga anakwenda kutafuta mke kumbe kutongoza hajui.
Ungemwambia hivi haloo dada moyo wangu umekudondokea, naomba tuchanganye mate na tubambanishe makojoleo (kwa lafudhi yenu ile).Kutongoza ndo kukoje sasa?
Unasema nini?
Hahahahahah! Eti kijitu hata kama hukipendi unakiambia unakipenda. Nyie wabaya jamaniKweli mapenzi nayo bila uongo uongo hayaendi.
Wakati mwingine kijitu hata kama hukipendi unakiambia unakipenda ili mradi tu.
Laiti tungekuwa na uwezo wa kuona yaliyomo mioyoni na vichwani mwa watu kuhusu mapenzi, sijui hii dunia ingekuwaje.
Kwani Mke huko Ikungulyabashashi anatongozwa au unapeleka tu posa ya ng'ombe na barua kwa baba mkwe..Juzi alituaga anakwenda kutafuta mke kumbe kutongoza hajui.
Teh teh teh mademu wanapenda Sauti ya Nyani Ngabu, rangi ya ngozi na Meno.!
And ooh yes he's a sharp dresser!
Wewe unampendea nini jamaaa??????
Teh teh teh Muhehe akienda shule bwanaaa.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hehehehe Mali ya kweli hayo... Ebu nishushie data zaidi hahahahahaNyani siyo Ngosha ni Mnyalu wa Iringa!
Kwani Mke huko Ikungulyabashashi anatongozwa au unapeleka tu posa ya ng'ombe na barua kwa baba mkwe..
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Huyu mnyalu hahahahahaa nikisema nilichompendea hapa watu watadesa. ....
Viko vingi ila ntasema kamoja tuu.....
Mie bana nilipenda kichogo chake Hahahahahahahaaa
Yaani day one nimemuona bana alikuwa kuvaa cap si unajua swaga za USA baby....
Sasa sijui yeye aliniona muda ile kunisogelea sijui nini kilimtuma bana akavua ile cap daaah nilizubaa kama dakika 5 hivi namtizama tuu....
Uchogo wa mnyalu bana sio utani udenda ulinitoka hivihivi hehehehehee
Vingine siri ya Kasie.
Hahahaha, hujanitongoza vizuri. Lol. Nimekumbuka comedy ya katarina "unaniramba ramba nimekuwa umbwa"HUYO MWANAMKE ATAKUWA MCHAGA TENA MMERU HATA MIE ISHANIKUTAGA NAMTONGOZA ANANIAMBIA BADO HAUJANITONGOZA VIZURI
Ungemwambia hivi haloo dada moyo wangu umekudondokea, naomba tuchanganye mate na tubambanishe makojoleo (kwa lafudhi yenu ile).
Sasa hukumpata wa kupelekea ng'ombe??Huko Mangi unaletewa tu...halafu we ndo unachagulaga.
hehehehe Mali ya kweli hayo... Ebu nishushie data zaidi hahahahaha
Mi naonaga mpaka kisukuma anaongea humu kumbe nilikuwa nadanganywa tu..