Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Domo zege bana

Mademu wa mavumbini lazima watongozwe kwanza.

Mademu wa mavumbini lazima watongozwe kwanza.

Ngabu ulisoma boarding schoo? Yote hayo tuliyafanya prep, wala hatukutongozana ndio maada binti alitaka ufafanuzi.
Eti nataka unitongoze?
Kwani kutongoza ndo kukoje? Unasema nini hasa?
Manake mwisho wa siku hata mi mwenyewe nitajistukia kwa kusema maneno meeengi ambayo asilimia kubwa wala siyamaanishi.
Kwangu mambo ya mapenzi nayachukulia kuwa ni mchakato wa kiasilia. Yaani inakuwa wote mshasomana na mnaenda taratibu hadi kufikia hitimisho au muafaka fulani.
Lakini kutongoza? Hmm....
Hiyo yaweza kuwa sawa kwa tamaduni zetu za kiafrika. Lakini kwa mchezo huo wa assumptions kuwa kakubali kuna watu wengi sana hasa waafrika waliwahi kupata kesi za ubakaji kutoka kwa wazungu. Wengi huwa wanashangaa wakisema alikubali kabisa wanakuja ambiwa niliogopa angenidhuru.
Yeah!!. Ujue Wanawake Ni Viumbe Vinavyopenda Sana Sifa, Hatakama Baazi Yao Kuna Wasiostahiki Kupewa Hizo Sifa.Yaani hata kama si mzuri we mwambie ni bonge la mrembo, siyo?
Ama kweli uongo ni sehemu muhimu sana ya mahaba.
Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.
Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.
Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.
Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.
Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.
Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?
Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Yeah!!. Ujue Wanawake Ni Viumbe Vinavyopenda Sana Sifa, Hatakama Baazi Yao Kuna Wasiostahiki Kupewa Hizo Sifa.
Kwahiyo Vipi Mkuu Ulimtongoza Au?
Nimesoma kichwa cha habari nikajikuta nacheka mwenyewe Nyani Ngabu
Hii post nimeipenda ... Ngoja *nisubscribe*
The best time was A-level, ilikuwa shule ya wasichana tu, basi mziki ndio uliwakutanisha na opposite sex. Nguo zilizokuwa zinavaliwa😛 Mwisho walimu walisema tuwe tunavaa uniform. Wakati wa disco mwalimu wa zamu alizunguka sana mitaa ya vyoo maana the only thing you can do was kissing. Wakati huo unafikiria "he is the only one" Kumbe utakutana na wengine wengi tu kabla ya kumpata the only one.Hapana.
Katika mambo niliyokuwa nayachukia kwa nguvu zangu zote ni kusoma hizo shule.
Nilikataa kabisa na kwa bahati nzuri hata sikuwahi kuchaguliwa kwenda wala sikulazimishwa na wazazi.
Huko boarding ndo mlikuwa hamtongozani?
Au unamvua chupi halafu anakuuliza unataka unifanye nini?!Wa aina hiyo anaweza kwenda na mtu mpaka kwenye chumba lodge/hotel or whatever the place na kudai hakujua nia ya jamaa.
The best time was A-level, ilikuwa shule ya wasichana tu, basi mziki ndio uliwakutanisha na opposite sex. Nguo zilizokuwa zinavaliwa😛 Mwisho walimu walisema tuwe tunavaa uniform. Wakati wa disco mwalimu wa zamu alizunguka sana mitaa ya vyoo maana the only thing you can do was kissing. Wakati huo unafikiria "he is the only one" Kumbe utakutana na wengine wengi tu kabla ya kumpata the only one.
Kutoa Offer, Kuahidi fungu, promise za uongo na vitu vizuri ambavyo hata wewe mwenyewe hujawahi kupanga kuwa navyo! Hahaahahaa hio inaitwa Professional Tongozo hahahaaaaKutongoza ndo kukoje sasa?
Unasema nini?
Namjibu nataka nikakufulie naiona chafu.Au unamvua chupi halafu anakuuliza unataka unifanye nini?!
Kutoa Offer, Kuahidi fungu, promise za uongo na vitu vizuri ambavyo hata wewe mwenyewe hujawahi kupanga kuwa navyo! Hahaahahaa hio inaitwa Professional Tongozo hahahaaaa
Nilichogundua kutongoza wanaume inatokana na fani aliyosomea, engineers hawana maneno mengi, wanakwambia kama una nafasi tukutane kwa chakula, mkiwa mnakula anakuangalia na kukukwambia mimi nimekupenda wewe unasemaje?Hata sielewi huko boarding mliishi ishije tu.
Kwa asili yangu nilivyo, nisingeweza kabisa kustahmili.
Nipo mtu wa faragha mno.
Turudi kwenye mada.
We ushawahi kutongozwa? Na ni jambo gani la ajabu ambalo ushawahi kuambiwa wakati wa kutongozwa?
Hahahahaa kwani wanaweka sehemu gani? USA baby..Kwa hali hiyo ww inaelekea hat akikukubalia hata sehem yenyew pa kuweka haupajui!
Nilichogundua kutongoza wanaume inatokana na fani aliyosomea, engineers hawana maneno mengi, wanakwambia kama una nafasi tukutane kwa chakula, mkiwa mnakula anakuangalia na kukukwambia mimi nimekupenda wewe unasemaje?
Watu wa arts atakuja na maneno mengi, mara ki zawadi, mara romantic words, vi aouting vingi with adventures, mara picknic mwisho unajikuta uko kwenye kiss (kwa ridhaa yako) Hasa malawyer wanajua kuremba kwenye mapenzi.