Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Itakua hujui kutongoza au your not romantic au your too materialistic....or both!! wenzio tukiongea nao tu analowa
 
Alitaka useme hapa ninapokunywa hii pinot grigio nakuona penye glass unanisimamisha wima kama minazi ya pwani, dada swalama au macho yangu? tutakula au fitna? ndege itatua au uwanja una maji?
 
Nilichogundua kutongoza wanaume inatokana na fani aliyosomea, engineers hawana maneno mengi, wanakwambia kama una nafasi tukutane kwa chakula, mkiwa mnakula anakuangalia na kukukwambia mimi nimekupenda wewe unasemaje?

Watu wa arts atakuja na maneno mengi, mara ki zawadi, mara romantic words, vi aouting vingi with adventures, mara picknic mwisho unajikuta uko kwenye kiss (kwa ridhaa yako) Hasa malawyer wanajua kuremba kwenye mapenzi.
wote ulishakutana nao???
 
Na nikipatia ninapata nini? Maana mtihani unakeshe kupata credits so what is on the stake here?

A trip to that.....

20160723_180916.jpg
 
Au ulikuwa na maneno mengi yasiyo na maana. Mara, oooh.. Mimi nina pesa nyingi! Ooh, baba yangu ni mwenyekiti wa kijiji. Au chuo kikuu nilipata first class

Pass ndefu kama za Mjerumani
Hivi mpaka leo watu bado wanatongoza kwa stayle hiyo?
 
Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.

Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.

Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.

Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.

Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.

Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?

Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.

Ha ha haaa mkuu..
Mchango wangu 200,000...
Kwa siku mbil tatu hizi naona kama unataka kuthubutu....
Naasili wazo lako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom