Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
inshort alitakaumpige fiksi ndioaoe kweli a akubali haraka...uongo wanautakaga wenyewe wala sio sisi.....zingine zuga tu hawa wanapenda uongo...
 
That's so stupid, though.

I mean, this whole entire time you've seen me ogling you but you wanna play dumb and act like you don't know what time it is?

Ain't nobody got time for that.

Hahahahaha Ngabu... sometimes tunapenda kusikia ile "yaani wewe ni mzurii", Unaonaje tukispend some time together" etc
 
Hahahahaha Ngabu... sometimes tunapenda kusikia ile "yaani wewe ni mzurii", Unaonaje tukispend some time together" etc

Hata kama sikuoni mzuri nikwambie tu hivyo hivyo?

Kweli mapenzi bila uongo uongo hayaendi.

Ni lazima mdanganyane kidogo ili yanoge.
 
inshort alitakaumpige fiksi ndioaoe kweli a akubali haraka...uongo wanautakaga wenyewe wala sio sisi.....zingine zuga tu hawa wanapenda uongo...

You got that right.

Bila uongo uongo yatanogaje sasa?

Hata kama mchuchu ana pua kama madole gumba ya mguu hadi nywele za pua unaziona [aisee nose hair kwangu mimi ni deal breaker kwa mdada] we msifie tu.

Kwa ujumla tu bila uongo maisha hayataenda kabisa.
 
Watanzania katika ubora wao!! silence is the best medicine!

Hahaaaaa....if you ain't got haters you ain't poppin'.

Hapo ni leo wakati naenda boksi alfajiri....USA baby

20160726_212639.jpg
 
Hahahaa si nilifikiri ulikua umevutiwa nae?

Unajua mvuto upo wa aina nyingi...

Kuna wengine unakuta kabisa si wazuri lakini kunakuwepo na kitu toka kwao ambako kanakuvutia.

Uzuri wa sura si kila kitu kwenye mapenzi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ila kuna kautamu kakutongozwa jamani tuacheni utani

Hivi mtu akiwa anakutongoza kwa wakati huo kichwani mwako wewe unakuwa unawaza nini?

Unakuwa tayari ushajua kwamba utamkubalia au utampiga chini?

Halafu ukishamkubalia unamwambiaje sasa? Ndiyo nimekubali?
 
Inategemea kama Nina interest nae au lah
 
I see we jamaa medicine yao unaijuwa vizuri sana, ukihanganya na stress za Magufuli wanatamani wakumeze.

Hahaaaaa I'm not called Ngabu for nothing.

Sasa kwa sababu jana nilichelewa kidogo kurudi ikabidi nipitie staftahi. Nikamwambia Monique ashuke anipige picha nikikata kona.

Halafu kulikuwa na fog kidogo leo...

20160717_194818.jpg
 
Nyani Ngabu bwana hivi hujui magufuli amesema tufunge mkanda a.k.a tubane matumizi tukuze uchumi? lazima nikiripoti kwa mzee magu utumbuliwe. Kwanza ulete remittances acha kutumbua peke yako. #wenyevyaowatubana

Kufunga mkanda hakupo kwenye msamiati wangu.

Ni mwendo wa kumwaga radhi tu ili niongeze wanaonifuatilia😀.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom