Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Kufunga mkanda hakupo kwenye msamiati wangu.

Ni mwendo wa kumwaga radhi ili niongeze wanaonifuatilia😀.
Tatizo lao linaanzia hapa....

1469624116588.jpg
1469624133814.jpg
1469624179553.jpg
 
hiyo inaitwa jeuri dawa yake ni kiburi! Ngoja siku wabongo wakukute kwa bahati mbaya eneo ambalo ndivyo sivyo waku-mange-lize. Nilichogundua watanzania wanachukulia serious whatever wanachoona mitandaoni.

Hakuna hata anayenijua humu kwa hiyo hata wakinikuta hawatajua kama ni mimi.

Lakini unajua nini, hata wakinikuta hawatakuwa na baya la kusema lililo la kweli.

Kama wakisema baya basi itakuwa uzushi tu.

USA baby
happyunitedstatesflag.gif
happyunitedstatesflag.gif
happyunitedstatesflag.gif
.
 
Kutongoza kwa jina lingine kunaitwa. Kuomba sehemu ya siri ya mwanamke
 
Hakuna hata anayenijua humu kwa hiyo hata wakinikuta hawatajua kama ni mimi.

Lakini unajua nini, hata wakinikuta hawatakuwa na baya la kusema lililo la kweli.

Kama wakisema baya basi itakuwa uzushi tu.

USA baby
happyunitedstatesflag.gif
happyunitedstatesflag.gif
happyunitedstatesflag.gif
.
Hivi kwanini watu wanakufatilia sana humu?
Haki ya mimi siku ukijitoa jf kuna watu nao watajitoa humu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom