Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Alafu ile ID huwa inatokeaga kwa machale tu... Kuna siku alikuja na ID nyingine akamkomesha kweli swahiba Ngabu hahahaha
Mimi ananichekeshaga sana wakiwa kwenye ligi zao za dini dah jamaa anaweza pambana na ID hata mia mwenyewe
Halafu pembeni akiwa na backup ya ritz basi tabu tupu
 
Yaani hata kama si mzuri we mwambie ni bonge la mrembo, siyo?

Ama kweli uongo ni sehemu muhimu sana ya mahaba.
Kwa Dar kutongoza lzm uombe namba yake ya simu na kuanza kumtumia MIAMALA
Then sasa ndiyo text kama I LOVE YOU
 
Huwa ananifurahisha sana anavyovamia vitu visivyomuhusu...

Yeye mwenyewe ni mpenda ligi mpaka alifungua uzi wa ligi ya Ali Kiba na Diamond, leo anakuja kusema hapendi kufatilia ya watu JF zaidi ya kujifunza hehehehehe.. Alafu ana mentality moja ya kushambulia tu hata ambako hapaswi kushambulia..
Wewe dogo acha kuweweseka na Matola, mimi nilifunguwa thread ya King Kiba Fans na siyo Ally Kiba na Diamond.

Ndio maana viwango vya ufaulu vimeangaliwa upya maana wengi huwezo wenu wa kuelewa ni mdogo sana.
 
If it happens that jamii forum was a Sicilian Mafia mob then Kahtaan could be the only one with the title Capo dei Capi

Haahaaaa!
Kahtaan ni noma sana. Yani ukiona watu kama Ngabu, Kiranga, Matola, wale jamaa zetu wa Kenyan Forum wanamshindwa mtu basi ujue ni balaa.
Asieee jamaa yule kapinda.
 
Maan I've no worries... Huwa najua Nyani akishikwa anavyo behave..

Leo umepiga kwenyewe... Ndio maana huoni zile stunts zake..

Yaani kutoka kidogo kwenda kui murder mall ndo mnatangaza ushindi?

Siwezi kaa kwenye laptop muda wote nakimbizana na wala vumbi bana.

But I know you are not that stupid...but then again what do I know...I could be wrong. You could very well be that breathtakingly stupid.

Now take that...take that.

So nilianzia hapo Saks....nimechukua pair mbili za Balmain jeans na shati moja la Belstaff.

20160723_180818.jpg

Then nikaenda hapo kuangalia timepieces....

20160723_180551.jpg

Sijakaa sawa kumbe bi mdogo keshafika huko basi ikabidi nimfuate. Nikamchukulia pair mbili za diamond-platinum studs. Versace baby...Medusa baby.

20160723_180947.jpg

Hapo tunarudi nyumbani....Peachtree Road hiyo...

20160723_193123.jpg

Now I'm back at the crib. Unaona bendera hiyo inaning'inia hapo? USA baby...😀😛.

20160724_194445.jpg

Vipi sasa....niongeze?

Btw, R.I.P. to the mall coz we murdered it.
 
Yaani kutoka kidogo kwenda kui murder mall ndo mnatangaza ushindi?

Siwezi kaa kwenye laptop muda wote nakimbizana na wala vumbi bana.

But I know you are not that stupid...but then again what do I know...I could be wrong. You could very well be that breathtakingly stupid.

Now take that...take that.

So nilianzia hapo Saks....nimechukua pair mbili za Balmain jeans na shati moja la Belstaff.

View attachment 371594

Then nikaenda hapo kuangalia timepieces....

View attachment 371595

Sijakaa sawa kumbe bi mdogo keshafika huko basi ikabidi nimfuate. Nikamchukulia pair mbili za diamond-platinum studs. Versace baby...Medusa baby.

View attachment 371596

Hapo tunarudi nyumbani....Peachtree Road hiyo...

View attachment 371597

Now I'm back at the crib. Unaona bendera hiyo inaning'inia hapo? USA baby...😀😛.

View attachment 371598

Vipi sasa....niongeze?

Btw, R.I.P. to the mall coz we murdered it.
Mkuu hukutaka kutumia AK 47, naona umeamuwa kushusha B52 bomber na umemaliza kazi.

Kwa mla vumbi na viza refusal victim hapo umemaliza mchezo watabaki warukaruka tu kama mabata bukini.
 
Picha huna nyingine, zingine ushaziweka(ga).
 
Mkuu hukutaka kutumia AK 47, naona umeamuwa kushusha B52 bomber na umemaliza kazi.

Kwa mla vumbi na viza refusal victim hapo umemaliza mchezo watabaki warukaruka tu kama mabata bukini.

Hawa wala vumbi wanadhani muda wote tu mtu umekaa kulumbana nao humu.

Natoka tena...ngoja nikale sirloin steak Fogo de Chao.

Nikirudi ni mapicha tu.
 
Hawa wala vumbi wanadhani muda wote tu mtu umekaa kulumbana nao humu.

Natoka tena...ngoja nikale sirloin steak Fogo de Chao.

Nikirudi ni mapicha tu.
Yap ma niggar, aminia mbelez ni mbelez buana, watu wana stress za Magufuli wanataka kuzipunguzia kwa watu wengine.

Watu Bongo wanakaribia kupandwa na vichaa kwa stress za maisha.

Picha pls tunazisubiri kwa hamu, zimwage za kutosha tu.
 
Nimepitia kwanza supermarket maana nimeishiwa lemonade nyumbani....

20160709_191749.jpg

Then nampitia Monique [ totoz] hapo kwenye townhome yake....

20160726_153003.jpg

Tuko njiani sasa tukielekea Fogo de Chao.....

20160722_152413.jpg

Tumekaribia kufika...tumebakiza kama nusu maili hivi....hata USA kuna sheli...umeiona hiyo?

20160719_204321.jpg
 
Oh btw, bi mdogo tumem drop hapo Soneley Way kwa babysitter.

Ntamchukua kesho. Leo ni mimi na Monique tu.

20160726_153458.jpg
 
Nimepitia kwanza supermarket maana nimeishiwa lemonade nyumbani....

View attachment 371601

Then nampitia Monique [ totoz] hapo kwenye townhome yake....

View attachment 371602

Tuko njiani sasa tukielekea Fogo de Chao.....

View attachment 371603

Tumekaribia kufika...tumebakiza kama nusu maili hivi....

View attachment 371604
Usitalajie kupendwa na losers kwa style hii, mitanzania ilivyo na roho mbaya inapenda kila mtu mfanane shida.

Leo humu hata wanaowapiga wake zao hadi kuwavunja viungo wameshikabango wanashangili Papaa Mopao afungwe, kumbe kinachowasukuma si huruma wala human right wala kupinga woman abuse bali kwa sababu ni flani mzee wa maselfie ili ateseke nyoyo zao ziwe kwatu.

Miaka ya nyuma, wakati wa Lowasa aliwatembelea TAZARA, moja ya malalamiko yao ilikuwa kwamba wakubwa wao wana kantini nzuri kuliko wao. Lowasa akawauliza mna maoni gani? Wakasema ifungwe waje huku kwetu tule nao pamoja. Lowasa akawauliza kwa kula nao ubora wa kantini yenu utakuwa umeongezeka? Kimyaaa! Akawaambia usisherehekee anguko la mwenzako kama halikuongezee kitu. Pigania maslahi yako ili unufaike siyo angalau naye akose.

Akawaacha solemba.
 
Uncle Ben, Good to see you bro!
Sasa nacheka jinsi huyo jamaa MATOLA na baadhi ya watu wanavyonitukana hata mambo hayawahusu.
FisadiKuu bruh mchukulie poa huyu jamaa kwasababu our game begins now. More is yet to come.
😀😀😀😀😀😀😀

Nimekupendaje?Tupetupe vitu mkuu.
 
Belinda hiyo lip shine inadondoka.. Be careful

Ha ha..am careful aisee. Haidondoki nakwambia 🙂)

Well well well.
Look who we have here.
Hicho ki-Pinocchio Gri nini sijui ni chakula au ni aina ya usafiri?

Ni mvinyo bestito. Jaribu ukiweza, utaipenda Chief. Au tukutane pale maeneo ya Dodoma na kupata lichupa lizima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom