Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,085
- 136,584
- Thread starter
- #341
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Teh teh teh SUPER NGABU!
What up groupie...you good?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Teh teh teh SUPER NGABU!
Damn!Hey Niffah do needfull pls you are smart than this ,achana nae usimjibu tena
She goes low ,you go high
What up groupie...you good?
Wa aina hiyo anaweza kwenda na mtu mpaka kwenye chumba lodge/hotel or whatever the place na kudai hakujua nia ya jamaa.
Kipindi tunakua Hakuna kuyongoza unamwelekeza mtu kuambiwa tu mazingira ya kukutana anajua Nini kinafuata
Groupie tena?
Kwa hiyo wewe ushakuwa Super Star?
Teh teh teh teh teh.
I'm good by the way......
Hahahaaa we mtani bana...una mambo sana.
Halafu ujue mi sio superstar...mi ni rock star.
Hahahaa....glad to hear you're good, though.
Sasa leo vipi? Hushushi mabomu hapa?
hehehehehehe hapa pashachafuka....
Ngoja nile kona...
Heeeheeeeee!
Nimekuja jua navyoshusha mabomu nakupa umaarufu.
Halafu watu wanaweza kukugundua wewe ni nani. And i cant risk that. And i can't risk that.
Wewe ukikimbia humu I WILL BE BORED TO DEATH, hakuna mtu wa kumtukana.
By the way how is our little girl doing????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Aaah mtani ndo nini sasa hivyo bana? Usiache....
You don't know her.
teh teh teh teh sasa mimi hapa nimefanya nini aisee..Nakulaumu na wewe kwa kiasi flani.
Unajua sana kuchochea mambo halafu yakiwaka unakula kona unaenda kujibanza sehemu ukichekelea.
No bueno.
Teh teh teh teh!
Mbona huu siyo utani ni ukweli?
Halafu wewe jamaa unajua kucheza sana na akili za watu humu hasa hawa mabinti.
Hivi Asanterabi Malima unamjua yule chaliii?? Basi kuna siku alikuwa na wana fulani hvi miaka hiyo kitaa huwezi amini niliwakufumusha humu hadi leo wanamind sana.
Wewe Ngabu nikisema sana watu watakujua na itakuwa noma kwenu. So Chill
teh teh teh teh sasa mimi hapa nimefanya nini aisee..
We were going back and forth mimi, wewe na MALCOM LUMUMBA.. All of the sudden anakuja mtu kutukana na kusema sijui tunakufatilia sana.. Tena tumefanya ustaarabu kuwaignore wengi sana tangia jana ambao hawaijui hii ligi yetu.. Ni Mali pekee ndiye kuna demu alimwambia huko juu aache kudandia yasiyomuhusu.. Kuna mwanaume mwingine hapa alidandia na kuanza kutukana wala hakuna aliyehangaika nae.. Sasa huyu nae sijui ametokea wapi na hasira zake ameanza kuteremsha matusi hapa..
teh teh teh teh sasa mimi hapa nimefanya nini aisee..
We were going back and forth mimi, wewe na MALCOM LUMUMBA.. All of the sudden anakuja mtu kutukana na kusema sijui tunakufatilia sana.. Tena tumefanya ustaarabu kuwaignore wengi sana tangia jana ambao hawaijui hii ligi yetu.. Ni Mali pekee ndiye kuna demu alimwambia huko juu aache kudandia yasiyomuhusu.. Kuna mwanaume mwingine hapa alidandia na kuanza kutukana wala hakuna aliyehangaika nae.. Sasa huyu nae sijui ametokea wapi na hasira zake ameanza kuteremsha matusi hapa..
Ukweli ni upi mtani? Acha longolongo bana shusha hayo mabomu watu tuburudike...teh teh teh.
Unanisingizia. Mi mshamba mshamba tu. Mjini nimekuja kwa garimoshi.
Hali ya hewa ishachafuka bana.
Kwanza leo nilikuwa na hamu sana ya vibomu vya Mali na mi nikawa nimejiandaa na mapicha kibao.
Basi ngoja nipotezee tu. Tutakutana kwingine siku ingine maana hii ligi ni endelevu teh teh teh.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba hakuna alipotajwa kwenye huu uzi... Labda huwa inamuuma tunavyomchachafya Ngabu hapa..Mommas boy kapanic.
Wanakuja kumtetea hapa halafu anakurushia mpira wewe kweli?
Hivi mtu mzima hajui kama kutukana na kuingilia mambo yasiyomhusu ni makosa?
Hapana wewe siyo mshamba kabisa!
Na surely mzee wako amekufanya uwe hapo ulipo.
He's an inspiration even to me, lakini huwa sikuelewi pale unaponda sana Tanzania wakati baba yako alishawahi Kuwa TOP BUREACRAT hapa nchini.
Mimi leo nilikuja na HINT nyingi hadi kuonyesha ulivyo na Double Standards.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba hakuna alipotajwa kwenye huu uzi... Labda huwa inamuuma tunavyomchachafya Ngabu hapa..
Alafu sasa kuna watu ukisoma tu wanachoandika unakuwa umepata picha ni mtu wa namna gani...