Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Hahahaha halafu average person atakayetumia IP address kufanya tracing sana sana atakacho ona ni region au City uliyopo ,hawezi kujua majina yako wala chochote sasa mbaya zaidi ukute unatumia Wi-Fi ndio kabisa hawakupati ,vingine wataenda tu kwa ISP kupata majina na adress ya mtumiaji ,ambavyo kukupata pia ni kazi nyingine kwa sababu anayelipia internet anaweza akawa sie ndie aliyetumia ,basi Matola na Tor browser yake kaikomalia kweli kweli wakati ina VPN tu

Uncle Ben, Good to see you bro!
Sasa nacheka jinsi huyo jamaa MATOLA na baadhi ya watu wanavyonitukana hata mambo hayawahusu.
FisadiKuu bruh mchukulie poa huyu jamaa kwasababu our game begins now. More is yet to come.
😀😀😀😀😀😀😀
 
Kutongoza kwa sasa ni kupotezeana muda,zinatumika mia Lugha za ishara na pesa, muhimu na yeye ajiongeze, asiwe Mburura
 
Uncle Ben, Good to see you bro!
Sasa nacheka jinsi huyo jamaa MATOLA na baadhi ya watu wanavyonitukana hata mambo hayawahusu.
FisadiKuu bruh mchukulie poa huyu jamaa kwasababu our game begins now. More is yet to come.
😀😀😀😀😀😀😀
Hahahahaha hawajui hii kitu ilianzia mbali sana sio kwenye uzi huu ,Matola is a pain in an a$$ mwache tu hiyo halmashauri ya kichwa chake anakijua mwenyewe

The feeling is mutual bro
 
Huwa ananifurahisha sana anavyovamia vitu visivyomuhusu...

Yeye mwenyewe ni mpenda ligi mpaka alifungua uzi wa ligi ya Ali Kiba na Diamond, leo anakuja kusema hapendi kufatilia ya watu JF zaidi ya kujifunza hehehehehe.. Alafu ana mentality moja ya kushambulia tu hata ambako hapaswi kushambulia..
 
Maan I've no worries... Huwa najua Nyani akishikwa anavyo behave..

Leo umepiga kwenyewe... Ndio maana huoni zile stunts zake..

Haahaaaaaaa.
UncleBen sikuzile nilimuahidi kwamba lazima nitampeleka mtu GOLGOTA.
Sema siwezi kumsulubu kivile kwasababu mzee wake ni mtu mwenye heshima sana na hanaga makuu na mtu kabisa.
And i understand that he's just a boy living under the shadow of his father's greatness.
When his head goes grey he won't be writing kinda crap we see here.
 
Hahahaha kuna Alwatan mmoja humu anaitwa Khataan Matola hapo huwa hafurukuti ,ligi zake atahangaika ila akikutana na huyo jamaa anakua mdogo kweli kweli sijui jamaa alimfanya nini

Matola ni aggressive muda wote utafikiri ana vinasaba vya black mamba
 
Wewe nae kuna sehemu nimekuita...
Kumbe huku 'kimehappen' mbona hujaniita sasa?
 
Haahaaaaaaa.
UncleBen sikuzile nilimuahidi kwamba lazima nitampeleka mtu GOLGOTA.
Sema siwezi kumsulubu kivile kwasababu mzee wake ni mtu mwenye heshima sana na hanaga makuu na mtu kabisa.
And i understand that he's just a boy living under the shadow of his father's greatness.
When his head goes grey he won't be writing kinda crap we see here.
Is his father still in UDSM?? Au yupo New York
 
Hahahaha kuna Alwatan mmoja humu anaitwa Khataan Matola hapo huwa hafurukuti ,ligi zake atahangaika ila akikutana na huyo jamaa anakua mdogo kweli kweli sijui jamaa alimfanya nini

Matola ni aggressive muda wote utafikiri ana vinasaba vya black mamba
hahahahahahaha Kahtaan na Ritz ndio kiboko yake.. Hao jamaa anawaogopa hatari..
 
Hahahaha kuna Alwatan mmoja humu anaitwa Khataan Matola hapo huwa hafurukuti ,ligi zake atahangaika ila akikutana na huyo jamaa anakua mdogo kweli kweli sijui jamaa alimfanya nini

Matola ni aggressive muda wote utafikiri ana vinasaba vya black mamba

Speaking about kahtaan The Celebro Assassin i choose to remain silent and just laugh out loud.
teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeh. JF raha sana.
 
Haahaaaaaaa.
UncleBen sikuzile nilimuahidi kwamba lazima nitampeleka mtu GOLGOTA.
Sema siwezi kumsulubu kivile kwasababu mzee wake ni mtu mwenye heshima sana na hanaga makuu na mtu kabisa.
And i understand that he's just a boy living under the shadow of his father's greatness.
When his head goes grey he won't be writing kinda crap we see here.
Hahahaha cut a negro some slack and let a boy breath .......

Next time he will put some respeck on your name

Kawa mpole huyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom