![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hiyo inaitwa jeuri dawa yake ni kiburi! Ngoja siku wabongo wakukute kwa bahati mbaya eneo ambalo ndivyo sivyo waku-mange-lize. Nilichogundua watanzania wanachukulia serious whatever wanachoona mitandaoni.
Ha ha..am careful aisee. Haidondoki nakwambia 🙂)
Ni mvinyo bestito. Jaribu ukiweza, utaipenda Chief. Au tukutane pale maeneo ya Dodoma na kupata lichupa lizima.
Duhh. Mkuu umechukulia serious hadi umenipatia warning
poa bwana ila wala sikuandika kwa ubaya na comment yangu ilikuwa very neutral! Peace
Hapa naona naweza kutoa staili mbili kali ambazo zinatoaga majibu ya chanya hizi hapa:Mmh, Hebu mwaga mchele Mkuu
hehehehehe kinachoshangaza zaidi yeye anayefuatiliwa wala hatukani bali anakuja na picha za USA Baby kuwakomesha wanaomfatilia..Aiseee hivi humu jamii forum kuna watu ni exceptional ?? Hapa umeandika nini sasa dada ??
Sikujua kuna watu mnachukulia mambo ya mtandaoni serious namna hii
Aiseee mimi ameniacha hoi ,si angejifunza tu tokea hayo malumbano yaanze baina ya wahusika hakuna hata mmoja aliyetumia lugha ya matusi ,au anafikiri watu kutukana hawawezi ??hehehehehe kinachoshangaza zaidi yeye anayefuatiliwa wala hatukani bali anakuja na picha za USA Baby kuwakomesha wanaomfatilia..
Ila yule ambaye hata hausiki na chochote na mwenyewe anasema wala hamjui na hajawahi kuonana nae yupo anarusha matusi na kutoa suggestions on behalf.. Inashangaza kweli hehehehehe
hehehehehe labda inamuuma tunavyomweka jamaa busy hapa mpaka huko PM anashindwa kuwajibu..Aiseee mimi ameniacha hoi ,si angejifunza tu tokea hayo malumbano yaanze baina ya wahusika hakuna hata mmoja aliyetumia lugha ya matusi ,au anafikiri watu kutukana hawawezi ??
Shida yote ni Ngabu kuwa na price tag humu jamvini
hehehehehe kinachoshangaza zaidi yeye anayefuatiliwa wala hatukani bali anakuja na picha za USA Baby kuwakomesha wanaomfatilia..
Ila yule ambaye hata hausiki na chochote na mwenyewe anasema wala hamjui na hajawahi kuonana nae yupo anarusha matusi na kutoa suggestions on behalf.. Inashangaza kweli hehehehehe
Sasa wakiona hivi povu linawatoka na kutamani kwenda huko USA Baby.. Mwisho wa siku wanakuja kurusha matusi kama vichaa...Yoo ma nigga Steph....basi bana leo wakati natoka boksi kuna mshenzi mmoja akakatiza mbele yangu. Bado kidogo nimchomolee mguu wa kuku. Mshenzi sana jamaa.....ona hicho ki Benz chake...
View attachment 372155
Ila safari iliendelea fresh tu ma nigga
View attachment 372157
Shida yote ni Ngabu kuwa na price tag humu jamvini kama anavyojipambanua mwenyewe
Sasa wakiona hivi povu linawatoka na kutamani kwenda huko USA Baby.. Mwisho wa siku wanakuja kurusha matusi kama vichaa...
BTW Big Fella unaendesha gari gani?? Mini Van nini, mbona boneti hatuioni hata tuchungulie brand hiyo..
hehehehehe labda inamuuma tunavyomweka jamaa busy hapa mpaka huko PM anashindwa kuwajibu..
Hahahah alright playboy ila basi angalia the brats you keep kama huyo aliyekutetea hapo juu shes so 718 atleast kamata wale wa up in the hills ........Hahahaa I'm the shit playboy.
Nina ma fans wengi kweli hata kama baadhi yao hawataki kukiri lakini najua kimya kimya wananifagilia tu.
Ndo maana kila nilipo na wao wapo kuona what I'm up to.
I run JF ma nigga....hahahaaaa.😀😀😀😀😀.
Tena napenda sana wakija maana kurasa huwa zinajaa kweli.
Soon nita organize bonge la party kwa ajili ya ma fans wangu tu halafu nitafanya draw ambapo washindi wawili watashinda trip ya kwenda Sin city na mimi kwa wiki nzima....all expense paid [by me].
I love my fans...especially the card-carrying lifetime members of my fan club.
Without them there wouldn't be me.
Itabidi nimwombe Maxence Melo na Invisible wanitengenezee sub-forum yangu kabisa ili fans na haters wapate jukwaa lao la kutiririkia.
Hahahah alright playboy ila basi angalia the brats you keep kama huyo aliyekutetea hapo juu shes so 718 atleast kamata wale wa up in the hills ........
Hahahah alright playboy ila basi angalia the brats you keep kama huyo aliyekutetea hapo juu shes so 718 atleast kamata wale wa up in the hills ........






Come on now...hivi niseme mara ngapi kuwa mimi sina uhusiano na yeyote humu?
PMs zenyewe kuandikiwa labda ni mara moja kwa mwaka.
Acheni hizo bana.
Can't we all just get along?
USA baby![]()
.![]()
Shouts out to my haters [fans] too. I love y'all. Thanks for letting me live rent free in your heads.