Nataka ualwatani id yangu iwe ya red red!!

Nataka ualwatani id yangu iwe ya red red!!

heeeee makubwa
yamekuwa hayo tena
ama kweli kuishi kwingi ni sawa na kuona mengi St. Paka Mweusi hadi kuleeee unakujua
haya bhana,

samawe saa wasoro waiuto
samawe saa wendeinga mawe
samawe saa wajenga hekalu, hekalu lya mamba.

mi niliimba huo wewe je?


Mpenzi niache kabisa mi na Mamndenyi sababu wakati wanajenga lile kanisa pale Kotela alikuwa na miaka kumi sasa usiniulize mimi nilikuwa na miaka mingapi wakati huo....
 
Last edited by a moderator:
heeeee makubwa
yamekuwa hayo tena
ama kweli kuishi kwingi ni sawa na kuona mengi St. Paka Mweusi hadi kuleeee unakujua
haya bhana,

samawe saa wasoro waiuto
samawe saa wendeinga mawe
samawe saa wajenga hekalu, hekalu lya mamba.

mi niliimba huo wewe je?



Tatizo ni kuwa hatukutani tu kule tunapoenda kutoa sadaka ila umeshapata mtu wa kukukopesha ukianguka kidogo ,na wala sitakudai malipo,unajua mwenyewe........
 
badili id ili twende sawa
sitaki kuwaangusha watumishi mimi

halafu ujue huku nina ndoa mpya angalia usiniharibie ujue.

Tatizo ni kuwa hatukutani tu kule tunapoenda kutoa sadaka ila umeshapata mtu wa kukukopesha ukianguka kidogo ,na wala sitakudai malipo,unajua mwenyewe........
 
tena usiseme kabisa
tunatakiwa tulipia hapa naona wanatuvumilia tu,

na lazima niombe mfadhili wa kunilipia natamani kuwekewa kile kindude
cha rangi. Mamndenyi wataka ulipiwe sio? wajua kulipa weye? niPM basi.
 
Last edited by a moderator:
Kwani Nivea imekuwaje hoja hasa ni ipi.....hujawahi ona red au na wewe unataka kuwa red?
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya kawaida kwa Bishanga
Hebu wasiliana nae akupe mpango mzima ingawa najua ndio opportunity yake kukutongoza ila akijaribu namnyofoa kining'inio chake.

huko ulikopotelea.............................haya tu!
 
tena usiseme kabisa
tunatakiwa tulipia hapa naona wanatuvumilia tu,

na lazima niombe mfadhili wa kunilipia natamani kuwekewa kile kindude
cha rangi.

Mr Rocky kama kazi imekushinda sema wafadhili tujitokeze.
 
Last edited by a moderator:
yani Nivea umenichana laivu, uwiiii, siamini. itabidi nibadili rangi japo mie sitaki badge
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom