Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
NYIE ambao ID zenu zipo red red kama Invisible Mamndenyi @pakajimy Mtambuzi Bishanga Erickb52 twin wangu FP Slave Bishanga -lakini sitaki sifa kama wewe una red red na ki badge cha mererani Mzee wa Rula Excellent LiverpoolFC na kama shost angu Zion Daughter mzee kabanga kama shost angu Arabela ila sitaka ka badge mie kama kako charminglady japo aliyemng'arisha ni C6 na yeye akabaki na ka ID cheusi hahahah kuwa mwanaume tabu kweli kweli unakula maharagwe na mandazi kwa mama ntilie binti chips firigisi na mayai pembeni na juice alafu kila kitu anaacha nusu nusu! ndetichia Asprin Elizabeth Dominic hee na Kaizer Mwali Smile Preta Remmy Elli Katavi Husninyo japo aliyesababisha ni baishaynga sitaki kaka yangu Mwita Maranya upite pande hizi
nataka mwongozo maana humu cc nawaona kama Ma alwatani vile hehehe
na mie natakaa hako ka red mie niwe ALWATANI JIJINI JF lol
ukitaka kuangalia member walionline wao wakwanza kuonekana ukiangalia tag list ya threads wao wa kwanzaaa nimechoka .nataka ka red red ID mie na woote wenye red red kuja humu mnipe maujuzi mie
niwake wake humu cc na mie .au nicopy na paste!!sielewi vile

Last edited by a moderator: