Nataka tuwe mabesti tu si vinginevyo

Nataka tuwe mabesti tu si vinginevyo

Mkuu hukiona anakujibu hivyo ujue kabla hajakupa nafasi anataka akudadisi kuwa ni kweli unampenda,ukikubali muwe mabest ataanza kukupa mitihani midogox2 kama niletee zawadi,leo twende beach best,anaweza kukuuliza hata ivi umenipendea nn? na mambo mengine kibao mpaka ajilizishe mwenyewe then ndo akwambie ss tunaweza kuwa wapenzi.Njia hii huwa inatumiwa na kinadada wengi wanaojielewa kiakili na kifikra mda mwengine mnakutana mabarabarani tuu hafu unamwambia unampenda unafikiri atakukubaria kirahirahisi km nae kakupenda by physical view ndo jibu atakalokupa afu mambo mengine mtamalizana nbele kwa mbele
That's all

imetosha nmekuelewa
 
Ahsante mkuu umefafanua vizuri sanaa!
 
Nikueleze kipi mkuu
Mambo yapo wazi
Mwanaume wa ukweli Lazima ajiamini pia ajitambue...Ku give up ni dalili za kushindwa.

Mitongozo ya kung'ata vidole hakuna na mwanamke kaubwa kwa soni usoni ...akikomaa huyu wake
Watu wameshawahi kutukanwa na bado wakawapata.
Tumia ulimi wenye sukari
Hapo penye red umemaliza yote
nimekukubali.
 
Nashukuru jamani,kwa wote mlonipa mawazo nitayafanyia kazi barabara na nitarudi kutoa mrejesho wapi nitafikia.
 
Back
Top Bottom