Nataka tuwe mabesti tu si vinginevyo

Nataka tuwe mabesti tu si vinginevyo

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
anajamvi hiyo ni kauli ambayo nimekumbana nayo mara nyingi hasa kwa binti ambaye kweli ninampenda,Nashindwa kuelewa unamwomba akupe nafasi ya mahusiano yetu yale anakupa hilo jibu,

Je, anamaanisha nini hasa na vipi unawezaje kumkabili mtu wa hiyo kauli?
 
uwage unakubali tu...mambo huwa yanajipa mbele kwa mbele...halafu jina lako linanikumbusha svoca analysis mambo ya syntax yalikuwa yananishindajee
 
We nawe !!! Em kasome saikolojia ya wanawake!
 
Mkuu hukiona anakujibu hivyo ujue kabla hajakupa nafasi anataka akudadisi kuwa ni kweli unampenda,ukikubali muwe mabest ataanza kukupa mitihani midogox2 kama niletee zawadi,leo twende beach best,anaweza kukuuliza hata ivi umenipendea nn? na mambo mengine kibao mpaka ajilizishe mwenyewe then ndo akwambie ss tunaweza kuwa wapenzi.Njia hii huwa inatumiwa na kinadada wengi wanaojielewa kiakili na kifikra mda mwengine mnakutana mabarabarani tuu hafu unamwambia unampenda unafikiri atakukubaria kirahirahisi km nae kakupenda by physical view ndo jibu atakalokupa afu mambo mengine mtamalizana nbele kwa mbele
That's all
 
Vina saba vinaonyesha huna pesa za kutosha.
 
umemaliza mkuu!
 
Usituangushe wanaume wenzako bhana. Hayo maongezo mbona ni ya kawaid kabisa, wewe kubali tu anza kutoka naye out za kawaida kama vile humaindi kabisa.

Siku mbili tatu zakuzoeana utaona amekuzoea hata kufikia kuwa nawe mpaka usiku mkiwa wawili tu, hapo sasa akili kukichwa sio mpaka ushikiwe miguu...
 
Tatizo mkuu unataka kula nyabe bila hela,siku hakuna mwanamke anayetoa nyabe bila ya pesa,ukipata anakupata nyabe bila kupenda pesa,basi huyo ni mke mwema anastahili kuolewa.
 
kweli wewe bado mvulana...hujui kucheza na akili ya mwanamke
 
Hawa vijana mara oooh nimekaa miaka 3 bilabila sasa nawewe unakuja na hii??? Shame!!
 
..nakumbuka niliambiwa, "wewe haupo kwenye list yangu, nikiwapanga hata kumi bora haupo" daaah...ila mwisho wa siku...hadi kuomba poo!!
..jibu kama hilo lisikuumize akili, tumia akili ya mwanaume, she'll be yours in no time!!
 
uwage unakubali tu...mambo huwa yanajipa mbele kwa mbele...halafu jina lako linanikumbusha svoca analysis mambo ya syntax yalikuwa yananishindajee

hatari umenikumbusha hgl nikuwa sipendi phonology jaman looo
 
"urafiki ni sawa lakini jua mi ni mme haikosi nitakukujia...onyo nishakupa, basi jitahidi tu..."
alafu endelea na kazi zako
kweli wewe bado mvulana...hujui kucheza na akili ya mwanamke
si ungetuelezea?
 
"urafiki ni sawa lakini jua mi ni mme haikosi nitakukujia...onyo nishakupa, basi jitahidi tu..."
alafu endelea na kazi zako

si ungetuelezea?

Nikueleze kipi mkuu
Mambo yapo wazi
Mwanaume wa ukweli Lazima ajiamini pia ajitambue...Ku give up ni dalili za kushindwa.

Mitongozo ya kung'ata vidole hakuna na mwanamke kaubwa kwa soni usoni ...akikomaa huyu wake
Watu wameshawahi kutukanwa na bado wakawapata.
Tumia ulimi wenye sukari
 
Back
Top Bottom