Nataka tumtongoze huyu mchungaji aache kutusumbua

Ila sio mnanipa matumaini ambayo hayapo mie nika tafuta vumbi la congo alafu nikaishia kufa kutokana na over masturbation🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe Ni kwa udhamini wa mkongoman😂😂😂Bora usije Sasa maana hiyo Ni km kuigilizia mtihani
 
Acha kutuchafua dada tunafanya kazi ya Mungu sisi ni kama wawakilishi wake hapa duniani ukituchafua sisi ni kama umemchafua yeye


Uje kanisani kwetu hapa Manzese kwa mchungaji wetu Peter makangaraga tumeanza kipindi cha maombi na ufunuo usisahau kuja na sadaka hekalu la bwana halijiendeshi lenyewe mchango wako ni muhimu
Ha ha haa,I won't kwakweli
 
Back
Top Bottom