Nataka tumtongoze huyu mchungaji aache kutusumbua

Wengi huwa wanatumia majini au mapepo kwahiyo mkijaribu kwa lengo la kumkomoa. Mtajikuta menogewa utamu, na pesa mtakuwa mnampelekea na kila mmoja atakuwa anamtafuta kwa muda wake apewe utamu na kila mmoja wenu mtakuwa mnaoneana wivu.
Hawa watu hawana tofauti na watu wanaopata utajiri kwa nguvu za giza.
Wana njaa kweli.atafute wajinga wenzie
 
Ila historia ya mwanamke kwenye mapenzi siobya kitoto.

Kuna bidada mmoja nilianza nae maisha bwana, kumdodosa Mimi Ni wangapi kwake alisema Ni wa Tatu!

Baadae tukaachana na kupotezana, hivi karibuni kwenye mitandao hii tukakutana bwana, tukakbushiana maisha ya mahausiano yetu pale awali na jinsi tulivyokua achana, alipo Sasa na niliko Mimi nk.

Nikamuuliza Sasa ukweli kwamba Mimi nilikua wa ngapi kwake kwa wakati ule, alisema tu ukweli maana hakuna Cha kupotezana.
Kumbe nili kuwa wa kumi na moja!

Wakati huo Mimi kwangu yeye alikua wa Kwanza aisee!
 
siku mkijua ana pesa mniite. atapewa green light y kula mzigo point x, atafumaniwa na sadaka ataitoa kwa hiari, maombez yake yatakuwa yamejib mana mtakuwa mmepata mtaj zaid.
 
hujambo shosti, na Mimi naongezeka niwe wa 6
Sawa ila inabidi mtest scenario yenu mjue km itafanikiwa b4 hamjaifanya live kwa mchungaji...mi nipo teyari for a test...tutatest scenario zote mchungaji anaweza hepa or akapiga kelele kuomba msaada, au hata akawazidi nguvu na jinsi ya kukabiliana nazo.
 
Sijaona kosa la mchungaji, wala sababu ya wewe kumtongoza... labda kama sijaelewa kile hujaandika.

Ni hiyo kukuomba mkopo?

Itoshe tu kusema ni utunzi wa stori wenye nia ovu kuchafua watumishi wa Mungu.
 
Hao wanaojiita wachungaji km huyo bwana ni njaa tu zinawasumbua. Hakuna neno la Mungu linalohubiriwa hapo.
Unafikiri pesa apate wapi wakati ana familia?
Hiyo michezo ya kugonoka ndiyo michezo yao, mko wa 5 mbona atafurahi sana maana mitaji yao ni wanawake.
Mara nyingi wanakuwa na nguvu za giza...

Shetani nae huwa anafanya makubwa kama ya Mungu..

Hukumbuki wale waliojeuza fimbo na kuwa nyoka kule Misri?..Na uzuri mmoja Nyoka ya Haron ambayo ni ya Mungu ikazibugia zote!
 
Wengi huwa wanatumia majini au mapepo kwahiyo mkijaribu kwa lengo la kumkomoa. Mtajikuta menogewa utamu, na pesa mtakuwa mnampelekea na kila mmoja atakuwa anamtafuta kwa muda wake apewe utamu na kila mmoja wenu mtakuwa mnaoneana wivu.
Hawa watu hawana tofauti na watu wanaopata utajiri kwa nguvu za giza.
Yes hatashindwa..tena atawamega haswa mpka washangae..waongeze na subs juu

Hii dunia tusiichukulie kimasihara kwa sabbu ni noma!
 
Sawa ila inabidi mtest scenario yenu mjue km itafanikiwa b4 hamjaifanya live kwa mchungaji...mi nipo teyari for a test...tutatest scenario zote mchungaji anaweza hepa or akapiga kelele kuomba msaada, au hata akawazidi nguvu na jinsi ya kukabiliana nazo.
Hayupo dume zama hizi mwwnye jeuri ya kupambana na majike 6, lazima usande bro au ufe kabisa
 
Ndo maana huwa siwaamini wachungaji naamini neno la kitabuni tu.Afu vichungaji vya sasa vichawivichawi kila siku kuchukua dawa za kuvuta waumini.Mungu tutetee kwa kweli
 
Ndo maana huwa siwaamini wachungaji naamini neno la kitabuni tu.Afu vichungaji vya sasa vichawivichawi kila siku kuchukua dawa za kuvuta waumini.Mungu tutetee kwa kweli
Acha kutuchafua dada tunafanya kazi ya Mungu sisi ni kama wawakilishi wake hapa duniani ukituchafua sisi ni kama umemchafua yeye

Uje kanisani kwetu hapa Manzese kwa mchungaji wetu Peter makangaraga tumeanza kipindi cha maombi na ufunuo usisahau kuja na sadaka hekalu la bwana halijiendeshi lenyewe mchango wako ni muhimu
 
😂😂😂Hutaki kuwa mshiriki ila mtazamaji😅😅😅
Sasa sii umesema kidume yoyote atakaye sasambua mbususu sita lazima afe 🤣🤣🤣🤣

Ni kweli napenda nife juu ya mbususu lakini bado sijafikisha idadi ya mbususu ambazo nataka kusasambua
 
Back
Top Bottom