Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon

Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Changamoto kama hizi lazima zifanyiwe kazi,ndiyo mihemko nayoiongelea mkuu
 
Bado mpo mnaotaka Magufuli afanikiwe katika ajenda zake za kutisha na kunyanyasa watu?
 
Nae atamaliza Zama zake, tutamwita kwa kutoa Hesabu.

Wala msihangaike na mtu mliomchagua wenyewe.

Mwanadamu hujiona katika safari ndefu ya maisha kumbe wakati wake u mchache. Basi upitapo katika mapito yako ujichunge katika zama zako. Kwani kupitia hizo Zitakupa furaha ya milele au huzuni ya milele.

Rais aliwekwa kikatiba na wananchi wake, Muacheni afanye vile aonavyo huenda ndio njia yake bora ya kuiendeleza nchi yake. Na ifikapo nyakati za uchaguzi basi angalieni kuwa Yuafaa ama Laa.

Asomaye na Afahamu
 
Sasa ndugu katika akili ya kawaida hili jukwaa la siasa unaona kuna u-great thinker wowote(Niko tayari kukosolewa)
Dada/kaka shida zako zitatatuliwa na wewe mwenyewe tumia akili yako ipasavyo kujenga maisha yako na kutengeneza ajira kwa ndugu zako watanzania.
Mkuu uta nisamehe kama nitatumia Kauli mbaya.

Kwanza kabisa naamini hujui shida za watanzania , hujui maisha ya watanzania ndio maana unaongea kirahisi kama ungejua watanzania wana umasikini kiasi gani usinge ongea.

Pili naamini umekulia katika mikono salama ktk familia iliyojaa kwa kunufaika na lasilimali za wanyonge pasina kujua hujui shida ninini Lakini ni mfumo uliokukuza na kukuathiri ila ipo siku utajua Mungu aendelee kukupa maisha.

Tatu niambie ktk inchi isiyo kuwa na miundo mbinu ya kilimo kama sikimu za umwagiliaji na kilimo bora kwa ujumla na ina 88% ya wakulima inawwzaje kuendelea?

Mwisho naomba kufahamu Elimu yako inahusiana na nini?
Nesi au daktar wa mifugo au watu, elimu ya siasa, mhandis nikifahamu nitajua kwa nini unachukulia mambo kirahisi.
 
Mkuu hayo madawati ni bakuli lilitembezwa kama vile lilivotembezwa kwa ajili ya wahanga wa kagera na pesa kukwibwa
sawa, lakin si bakuli wametembeza wao! mbona akina lowasa na sumaye walipokuwa mawaziri wakuu yaliwashinda kutembeza hilo bakuli watoto wakapata madawati??
 
Baada ya kuambiwa hutadakwa sasa umeota mapembe nakuongeza mkia sio!? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji110] [emoji110] [emoji110]
Mkuu nimezaliwa siku moja kufa ni siku moja siogopi chochote maisha ni mapito
 
mkuu umeongea kwa swaga za kichungaji... safi sana.
 
sawa, lakin si bakuli wametembeza wao! mbona akina lowasa na sumaye walipokuwa mawaziri wakuu yaliwashinda kutembeza hilo bakuli watoto wakapata madawati??
Ukiishi ndani ya maji huwezi kuepuka kulowana
 

Boss Lady. Capo di tutti signore of JF: check yourself before you wreck yourself.
 
Mimi pia natamani aanguke kwa aibu kubwa. Kaidharau katiba yetu kiasi kikubwa sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…