Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Nakudokezea kidog tu ktk kitabu kitakatifu" nabii Eliya aliwataka watu kubadili nia zao mbaya na kumrudia muumba wa mbingu na nchi lkn watu hawakuamini mpaka pale alipomwomba Mungu akashusha moto ukateketeza hadi mchanga wa eneo husika"
Mimi namwomba Raisi aendelee mbele zaidi ya hapo maana namuombea usiku na mchana Mungu ampe njozi za tanzania mpya yenye maadili na utii
Kimsingi aliomchagua kuwa pale ni Mungu kama wabisha jaribu kumtafuta umue ndo utajua Mungu kamweka mtumish wake na kwa taarifa iliyopo watu weupe nao wameanza kufanya kama anavyofanya Mh.
wakti fulan mwl aliwah kwenda kuwatembelea watoto wa wazungu na kujaribu kwenda wanakosoma alituambia kila mtoto darasani ana pc,sim,games nk hawasikilizi lkn ni juz tu ilotangazwa bbc kuwa watoto watachapwa na hawatotakiwa kwenda na sim shule na kila mzazi kurekebishe ta tabia ya mtt wake
Szonje ni Raisi ata umtukane atabaki kuwa raisi.
fanya linalokuhusu usije kuwa kama lema ambae saiv anae omba msamaha kwa rais wakti akiambiwa alijifanya mwamba.
 
Nakupa siku chache nawe utakuwa na kesi ya kujibu si hauogopi?
 
mwenzako huyu hapa
 

Attachments

  • 1481724991362.png
    118.2 KB · Views: 37
Anamlinda Mange Kimambi are you serious?
 
Yeye vifijo na vigelegele!
 
Kama unatoa mchango mzuri na wabusara kwanini Usalama wahitaji taarifa zako?
Usalama wanataka nini hasa kwako?
Mchango mzuri unaweza kuwa na maana kwao katika kufuatilia jambo, au unadhani usalama wanakufuatilia kwa mabaya tu?

Sasa swali linakuja kwako, kama unachangia kwa staha, bila uzushi wakikufuatilia usalama wa taifa unaogopa nini?????
 
Acha tushindwe akae kando tuanze upya kuliko kuendelea na huu upuuzi unatia kinyaa
Ha ha ha ha... na hayo ndo mawazo yenu bavicha. yaani inch iingie kwenye shida ili uchaguzi ujao washinde wao!. Haya si mawazo ya kizalendo, watu wa namna hii hata tukipigana vita wanaweza kumsapoti adui ili tupigwe wapate cha kusema kwenye uchaguzi.

Mungu ni mwema, hawezi kuyapa nafasi mawazo haya yatokee. Maana anasisitiza mpende adui yako, waombeeni wanaowatesa. Kumwombea mabaya hamtafanikiwa.
 
Hata vitabu vitakatifu vinaelekeza viongozi kuwasikiliza watu wao mfano; wakati wa utawala wa mfalme Daud yale aliyotamka Nabii Nathani kwa mfalme Daud kwa kumchukua mke wa Ulia ndo angeyatamka kwa Sizonje leo hii angekuwa gerezani. Lakini mfalme Daudi alikiri mapungufu yake japokuwa alipata adhabu
 
[emoji109] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Dah Jk nimekumiss sana! ingawa nawe ulikuwa na mapungufu yako lakini sio kama huyu anayetutafuta atupeleke segerea tukafie huko
 
Hukunielewa.Mawazo yangu ni yako.Ila nilikuwa nareply undumilakuwili wa baadhi ya members including mleta mada.
 
tunaoshangiliaa hayamambo ya nguvu kupita kiasi nikwasababu hatujaguswa kwa upande wowote ilamambo yanavyokwenda najua wale wanayo yafurahia haya tunayo fanyiwa yatawakutaa tuuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…