Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Kila atakachokifanya kishindwe...yaani ashindwe kila kitu mpaka familia imshinde (ingaweje nasikia ilishamshinda siku nyingi)
akishindwwa rais... tunakuwa tumeshindwa wote kama taifa. (kama familia yake hata ikimshinda sawa tu lakini si mambo ya kitaifa)
 

Dola ndio bingwa wa kutunga story na kuzisambaza? Tuwafanyeje?
 
akishindwwa rais... tunakuwa tumeshindwa wote kama taifa. (kama familia yake hata ikimshinda sawa tu lakini si mambo ya kitaifa)


Acha tushindwe akae kando tuanze upya kuliko kuendelea na huu upuuzi unatia kinyaa
 


Waswahili wana msemo " KWENYE UKWELI UONGO HUJITENGA"!! Kama mtu atatunga uongo juu ya jambo fulani basi ukweli ukidhihirika aibu ni juu yake ; lakini huwezi kuwanyima watu haki yao ya kikatiba eti kwasababu watu wanaeneza majungu!!
 
Nyie mnajibizana na Huyu mtu Yupo USA kila siku kuleta thread za kuwapambanisha vichwa,kwanza hajulikanagi Yupo upande gani siku nyingine anakuja na kelele kibao kumpinga Lowassa,siku nyingine JPM,watu kama hawa wapo kibao nje hata kuja kwao kusalimia huwa hawaji,kazi kuchonganisha watu tu na kuwatia watu hasira na serikali yao.Ishu ya UKUTA Huyu jamaa aliwapamba watu waingie barabarani wapigwe utadhani atakuwepo nchini.Kuweni makini na mleta mada.Mwisho anachosahau dunia ni kijiji siku hizi hata USA Waweza kufatwa tu,system inafika popote tu ikiamua.Its just the matter of time.Ni hayo tu.
 
Unaogopa?
Nyani Ngabu,Tafadhali isije ukawa ndio wewe unayesakwa na ambaye umesababisha bosi wetu humu ndani ananyea debe lumpango toka jana.Tunahitaji kuwa na JF yetu. Is part of our life. Huoni kama Malaika anaweza kuifunga JF yetu for good? Twende taratibuuu!
 
Hivi mna u hakika kuwa Rais ndiye kaagiza, kiongozi wetu hapa JF akamatwe?
====
Staha katika kumshauri rais ni muhimu.
Nani kasaini sheria ya makosa mitandaoni?
Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon

Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema
 
Mi nadhani ni vyema wampe List Max Mello ya hao wanaohitajika kisha aiweke humu tuone kwa nini wanahitajika kisha tupige kura sisi kuwa watajwe au wasitajwe.

Otherwise nakuunga mkono NN
Good idea Kirchoff. Tuambiwe kabisa wanted for whaaat!
 
Do you this is easy? To change mindset at the age of 68 years?
Hivi wewe unadhani taifa linaweza kuwa na madikteta uchwara zaidi ya moja?

Acha utani ndugu yangu...hilo neno staha hata halimo kwenye msamiati wake!
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Watu wenye hekima huwa wanawaonya kina Maxence kuhusu kucheka na watu wanaongea pumba na matusi kupitia nyuma ya keyboard lakini hawakusikia, ndiyo malipo ya kulea ujinga wanaanza kuyapata. Watu wanashangaa nini hata Marekani huko mnakotaka kukimbilia ukimbizi mitandao mikubwa kama yahoo inapelekeshwa na serikali itakua hapa? Watu tujifunze kuwa uhuru una mipaka yake, maana kama una uhuru wa kufanya lolote basi ua mtu uone kama huo uhuru wako utafuatwa, sentensi ya Uhuru inasema "una uhuru wa kufanya lolote ili mradi usivunje sheria" kwanini waliongeza hilo neno kuvunja sheria??? lakini MSIMISEKE SENIOR hapa kuna wengi wanajifanya wanajua huko hawajaverify hizo personel details zao. Mbaya zaidi wanaishi bongo na wanatumia mtandao wa bongo. Kwanini wasiende kutapika hizo nyonga zao katika mitandao ya kimataifa maana huko ndiko wataianika serikali labda na wao kiingereza kinawashinda.
 
Inawezekana siku za mbeleni tukalazimishwa kutumia majina halisi na ku-submitt kopi ya kitambulisho cha mpiga kura/uraia plus nambari za simu tunapojisajiri jf…… na hapa itakuwa angalau maamuzi ya busara.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…