I admire the girl.
Anajua sana kuwa sina plan ya step yoyote kwa sasa.
Ila najua nitakapomkatatia..
Sina haraka bado kidogo nimiliki X5 BM.....
Kasie anajua ninachomaanisha... Wewe endelea na vibebi walker vyako uone kama atabaki kuwa shemeji.
Nimemmiss kweli mdogo wangu mama p, msalimie sana, mwambie anavyonifanyia sio vizuri.Miss you too.... Unajua mambo ya kulea tena....namsaidia mdogo wako Mama p.
Shem Darling
Hahahaaaaa!! Kweli shetani kawa malaika. Ila mume wangu amesema kwetu usije maana anaijua janja yako.Teh nampenda maana ana mpenda dada yangu
Nimempa asome....... Mambo mengi saana p anamchosha. Namhurumia na kitochi chakeNimemmiss kweli mdogo wangu mama p, msalimie sana, mwambie anavyonifanyia sio vizuri.
[emoji8][emoji8]Dady Daby.. ... usipate mawazo ni baba yeyoo
Nko hapa mlangoni, waiting for you to knockserious, niko njema na nko na confidence za kutosha. tatzo tactics n technics zangu zina sehemu zake hahahahaaaa
Tafran tupu yani...Afu sukari yenyewe ina ngwe ngwe. Patamu hapo
Namuona namuona tuuu
Kwanza pole kwa uchovu jirani.Nimekuja jirani
Namuona namuona tuuu
Ya kweli hayaAaaa blaza mimi hapa nanogesha tu thread
Ndio utu uzima huo. Amlee tu katika njia ipasayo ili asiiache hata atakapokuwa mzee.Nimempa asome....... Mambo mengi saana p anamchosha. Namhurumia na kitochi chake
Ahaaa jiran maswali gani tena hayaKwanza pole kwa uchovu jirani.
Vipi ulishamkubalia mtakatifu?