Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Huko pm hata sipajuiNjoo pm kwa maelezo zaidi.
Huko pm hata sipajuiNjoo pm kwa maelezo zaidi.
Karibuhapo sawa
Pm= people management.Huko pm hata sipajui
hapana aiseeee tatizo kuna alphabets zinafanania na jina langu la utani hahahahaaaa🙂🙂🙂kwa nini mkuuu, pole sana naona umewahiwa duuuuh
hahahahahahahah, jina lipi mkuu maana huu uzi una majina mawili yanawika hapa.hapana aiseeee tatizo kuna alphabets zinafanania na jina langu la utani hahahahaaaa🙂🙂🙂
mkuu nchunie kdogo mwenzio sikawii kubwabwaja kila kituhahahahahahahah, jina lipi mkuu maana huu uzi una majina mawili yanawika hapa.
spare my ribs puliiiiiizeeeee ohoooo
hahahahhaahha hilo jina bhana ninong'onezemkuu nchunie kdogo mwenzio sikawii kubwabwaja kila kitu
Tatzo uko mbaali saaana!! ungekuwa karibu na leo niko free aaahh ungelijua vyema sanahahahahhaahha hilo jina bhana ninong'oneze
ninong'oneze bhana hapa hakuna atayesikiaTatzo uko mbaali saaana!! ungekuwa karibu na leo niko free aaahh ungelijua vyema sana
hahahaaaaaaaa
nani huyo anakutekenya mkuu mbona hauko wazi?HahahahhahahaaaaaaUsiyaamshe bhana, unantekenya unajua
HahahaTeh teh
Umenigusa eeh mbaya wangu nani tena
Angalia usije ukaniachia bill tu mkuu 255.
Hebu njoo ndani kwanza!!nani huyo anakutekenya mkuu mbona hauko wazi?
KaoneHahaha
Hata mie Simjui
Basi ngoja nichukue crate ya balimiHahaha hizo sio zangu mkuuu
Yaani ujue niko hapa kwenye kibanda cha mpesa tayari nasubiria, hebu rusha fasta.
hahahahahahah hivi kumbe ni mie ulikuwa unaniitaHebu njoo ndani kwanza!!