MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,428
NAtaka kuchora tattoo mkono wa kulia ili kuendana na hiyo ya kushoto,
napokea ushauri
napokea ushauri
Acha kutisha watu weweNAtaka kuchora tattoo mkono wa kulia ili kuendana na hiyo ya kushoto,
napokea ushauriView attachment 1805852
Ana hela?Duh bonge la mwanaume
Kwanini?Aina ya mwili ambao sjawai utamani uuuwiii
Limwili ligumu limegawanyika vipande aiseee ata sipati hisia za mapenzi🤣🤣🤣🤣 afu ukute na hela hana uwwwiiiiiKwanini?
Usisahau kuchora na ua kwenye tako. Kama ile ya demu wangu wa zaman gigy money
Nilikuwa na mpango wa kuanza kwenda gym, ngoja niache.Limwili ligumu limegawanyika vipande aiseee ata sipati hisia za mapenzi🤣🤣🤣🤣 afu ukute na hela hana uwwwiiiii