Mtu kuvaa pete kwenye kidole cha shahada inaashiria nini

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Tunajua kila kitu kinabeba maana yake.

Kumkuta mwanaume/mwanamke kavaa pete kwenye kidole cha shahada cha mkono wa kulia au kushoto inamaana gani?

Nimeuliza maana nimekua nimekua nimewaona baadhi ya wanaume na na wanawake wanavaa pete kwenye kidole cha shahada kwa mikono yote au mkono mmoja badala ya kuvaa kwenye kidole ambacho pete ndo huvaliwa

Hii ina maana gani??
 
Tatizo tumekuwa na imani kwamba ukifanya jambo flan lina maana flan. Maana cheni miguuni watu wakaja na imani zao weee , ikaja cheni kiunoni nayo watu wakaja na mitazamo yaooo weeeeee. Sasa tumehamia na pete. Mimi sioni kama kuna shida maana naona kama ni urembo tu na wala hakuna maana yoyote. wapo wengine wanaamini ukivaa pete kidole cha pili kinachofata kidogo mkono wa kulia maana yake umefiwa na mke au mume. Hivo isikupe homa ni maamuzi ya mtu tu kuvaa. Kuna wengine huchukua cheni na kuongeza pete inakuwa kama kidani nayo unaweza kuta watu wakaamua kuwa na mawazo. Kuna baadhi ya nchi huvaa pete miguuni na wengine masikioni. zote ni kujiongeza urembo tu. Mfano wa chini miguuni siyo kweli kwamba wanapenda kugeuzwa ni watu tu wamekuja na hilo, maana wasiovaa sasa ndiyo unakuta wanatabia hizo. Maana wamasai wanavaa cheni za shanga miguuni.
 
. Kidole cha Diploma 😎,
. Ivi ukivaa soksi ndefu miguuni, unakuwa unamaanisha nini? 🤔
 
Tunajua kila kitu kinabeba maana yake.

Kumkuta mwanaume/mwanamke kavaa pete kwenye kidole cha shahada cha mkono wa kulia au kushoto inamaana gani?

Nimeuliza maana nimekua nimekua nimewaona baadhi ya wanaume na na wanawake wanavaa pete kwenye kidole cha shahada kwa mikono yote au mkono mmoja badala ya kuvaa kwenye kidole ambacho pete ndo huvaliwa

Hii ina maana gani??
Ungetupia kapicha kuonyesha hicho kishahada chenye pete, maana kuna wasiojua hicho kidole
 
Kidole Cha shahada ndo kidole Gani?

No. 2

IMG_6046.jpg

Kadogoo, cha pete, cha kati, shahada, gumba.
 
Back
Top Bottom