Nataka nimuacha lakini yeye hataki

Nataka nimuacha lakini yeye hataki

Nigee namba yake nimwambie humtaki.

Iwepo whatsapp pia.
 
Km unansemea mm kk kuna wifi yenu ypo hvyohvyo anaomba msamaha vzr bc atajirekebisha cku ya kwanza ya pili ya tatu yleyleeeeee tunagombana tena ila mi bdo cjafikiria kumuacha nampa muda kdg!
Yaani ni janga huelewi kama ni kweli au ni magumashi
 
Same situation here sema hatuishi pamoja. Nimempa makavu live jana, mpaka muda huu hakuna aliyemtafuta mwenzake. Sometimes the hard way is the only way
 
Kama wewe melacholic tafuta choleric au sanguine uone mziki wake usikimbie nyumba kwakua kuna sisimizi tafuta dawa ya kuua hao sisimizi mkuu.
Umenikumbusha Biology class. Sijui kama haya mambo ni kweli aiseee...

Kwa mtoa mada, sina ushauri. Namuunga mkono huyu Dada.

-callmeGhost
 
Mkuu Hakuna mahusiano yasiyo na mauzi,kikubwa ushatambua kilema chake pia mna mtoto tayari we vumilianeni tu huwezi jua meybe wewr ndio tatizo au kuna sehemu kuna tatizo,kulizishana kwrnye mapenzi sio kuti*na tu!!! Kuna vitu vingi sana ni vema ukafuta mawazo yakumuacha.
 
Back
Top Bottom