Nataka nikope pesa Bayport

Nataka nikope pesa Bayport

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,189
wadau anaowafaham vzur bay pot kuhusu makato yao anjuze,maana nataka nkakope kwao leo hii
 
Ndugu tunakupenda sana, USICHUKUE MKOPO BAYPORT KAMWE, HAPO NI BOMU. UTAKUJA KULIA NDUGU. HAO NI MATAPELI WAKUBWA, RIBA ZAO NI KUBWA SANA. NENDA BANK KACHUKUE MKOPO.
Ahsante mkuu kwa kumwongezea neno
 
Ndugu tunakupenda sana, USICHUKUE MKOPO BAYPORT KAMWE, HAPO NI BOMU. UTAKUJA KULIA NDUGU. HAO NI MATAPELI WAKUBWA, RIBA ZAO NI KUBWA SANA. NENDA BANK KACHUKUE MKOPO.
Huyu atakuwa hana vigezo kukopa Bank..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Samahani mkuu baypot ndiyo ile ilikuwa inamilikiwa na Isac Kashanga? Kama ndiyo hiyo bora akope kwa mtu binafsi.
Ndio hiyo mkuuu lakini pia nasikia mkono wa mama mkapa upo hapo na ndio wana jeuri kama zote
 
mhudum alinambia nkikopa mil 1.5 ikikatwa ndan ya miez tisa riba itakuwa lak tatu na nusu!!! sasa wew unaposema mil 2 riba iwe mil 4 kvp mkuu hebu elezea
Hivi bank huzioni mpaka uende kwenye hizo microfinance?
 
Mumiani /wanyonya damu kimbia mbali usije sema hatukukwambia.
 
Back
Top Bottom