UTT naye anachukia hizo Amana zenu anakopesh mabenkiNimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Haiwezekani kk. Maana bank ina muda maalumu wa kulipa mkopo. Na kadri mkopo unavyokuwa wa muda mrefu riba inapanda.Kwa milioni 50 alizosema anaweza lipa riba ya bank, plus faida ya 50m Kwa miaka 10.
It means akiweka 50 m utt bila kuchukua faida, atapata jumla ya 150m. Ukitoa principal ya 50m na riba 50 m , sio tu kalipa riba na faida anapata
Nyumba ya milioni 50... Kiwanja + nyumba hupati kodi ya 400kIla huyu mleta mada huenda ana hoja.
Hebu tu assume umekopa hiyo 50m ukajenga nyumba ya kupanga. Je, ndani ya miaka 7 itakua imerudisha hela ili uanze kupata faida?
Naserikali pamoja na kununua hisa. Ukiwa na akili ya fedha unaweza kufanya hicho anachofanya UTT mwenyewe kutengeneza faida, lakini wewe unaweza kupata lost kwasababu huna elimu pia unamtaji mdogoUTT naye anachukia hizo Amana zenu anakopesh mabenki
Sio rahisi mkuu afu itakuchukua miaka kibao kurudisha pesa yako ndio uje upate faida sasaNyumba ya milioni 50... Kiwanja + nyumba hupati kodi ya 400k
Kuna kitu tunachukulia poa... Kukusanya hela ikafika 50M sio mchezo. Building wealth is a long time game.Sio rahisi mkuu afu itakuchukua miaka kibao kurudisha pesa yako ndio uje upate faida sasa
Nmetafuta comment yake na mm nimpe neno la busara kumbe kakimbia bhana 😂 jamaa tapeli huyu🤣 jamaa mwongo sana , nilimuuliza hata huyo jamaa angekuwepo uwezekano wa yeye kumfahamu au kuwa rafiki yake haupo 🤣
🤣Nmetafuta comment yake na mm nimpe neno la busara kumbe kakimbia bhana 😂 jamaa tapeli huyu
Riba ya benki (wastani wa 18% kwa mwaka) ni kubwa kuliko faida ya UTT (wastani wa 13% kwa mwaka. Utapata hasara.
Riba ya milioni 50 Kwa miaka kumi bank inaweza kuwa sh. Ngapi? Kwa mkopo wa mshahara ni kama 50m. So faida ipo. Maana 50 m utt Kwa miaka kumi inatoka 150m. Ni issue ya mahesabu tu.Haiwezekani kk. Maana bank ina muda maalumu wa kulipa mkopo. Na kadri mkopo unavyokuwa wa muda mrefu riba inapanda.
Akiwa anawekeza hiyo 13 ya utt atapata faida.Riba ya benki (wastani wa 18% kwa mwaka) ni kubwa kuliko faida ya UTT (wastani wa 13% kwa mwaka. Utapata hasara.
kwani huo mkopo utasubiri hadi miaka 10 ndio ulipe au utatakiwa kurejesha kila mwezi? Je pesa ya kurejesha utaitoa wapi? Kama ni huko huko UTT it means hiyo haitafika huko 150m unayosemaRiba ya milioni 50 Kwa miaka kumi bank inaweza kuwa sh. Ngapi? Kwa mkopo wa mshahara ni kama 50m. So faida ipo. Maana 50 m utt Kwa miaka kumi inatoka 150m. Ni issue ya mahesabu tu.
Acha upotoshajiAkiwa anawekeza hiyo 13 ya utt atapata faida.
kwani huo mkopo utasubiri hadi miaka 10 ndio ulipe au utatakiwa kurejesha kila mwezi? Je pesa ya kurejesha utaitoa wapi? Kama ni huko huko UTT it means hiyo haitafika huko 150m unayosema
Mkuu ni ngumu kumeza lakini ni issue ya calculations tu. Tumia ChartGPT kuuliza maswali.Acha upotoshaji
Haihitaji hata Chatgpt . Kiuhalisia haitakulipa maana faida ya kila mwez ya UTT utakuwa unaitoa kulipa mkopo hapo tayari umeondoa compound interest so utajikuta na loose bila hiyo compound interestMkuu ni ngumu kumeza lakini ni issue ya calculations tu. Tumia ChartGPT kuuliza maswali.
Ishu atafute source ya kulipa mkopo ila sio gawio la uttKimahesabu iko hivi:
Ukikopa milioni 50 leo, kwenye benki yenye riba ya asilimia 18, kwa marejesho ya miaka 10, jumla utarejesha shilingi milioni 108.
Hiyo milioni 50 ukiiwekeza leo UTT, kwa riba ya asilimia 12 kwa mwaka, kwa muda wa miaka 10, itazalisha shilingi milioni 165.
Kama huo mkopo wa 50m utakua unakatwa kwenye mshahara (hautoi UTT), baada ya miaka 10 utakua huna deni, na una milioni 165 UTT.