Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,318
- 11,889
Yani upate 12% kwa mwezi kila mtu siangekuwa tajiri?🤣Asante
Binafsi naona bond fund ya UTT ndio nzuri zaidi kwa sababu ukiwekeza kuanzia 10m unakuwa unapata return monthly ambayo nadhani ni 12% hadi 13%