Asante kwa ushauri ..Tumia bila ku recommend kwa mtu yeyote na yeye atumie just tuu wewe inakukubali,guys Kuna watu wanawehuka kwa ajili ya bangi,wengine wanakua na uteja kabisa wa bangi..not to mention bado ni illegal kwenye nchi yetu.
Inategemea na discipline ya mtu kwenye utumiaji mkuu ..Nikikumbuka nilivyopata tabu kuacha punyeto, basi hizi habari za kuanza kufanya vitu vinavyokatazwa hazinishawishi kabisa.... By my side nakushauri ewe mwenye mpango wa kutaka kuanza kutumia hio ki2 tafadhali usijaribu.
Nadhani wajamaica ndio wanavuta zaidi duniani.Kuna member hapo juu kasema kuwa, ngoma ikikukataa ndo mazima jalalani .. kuna ukweli wowote hapo ? ..
Nyeto umeachaje?Nikikumbuka nilivyopata tabu kuacha punyeto, basi hizi habari za kuanza kufanya vitu vinavyokatazwa hazinishawishi kabisa.... By my side nakushauri ewe mwenye mpango wa kutaka kuanza kutumia hio ki2 tafadhali usijaribu.
Mwenge kituoni pale unaingia hostel za jeshi kwa mbele kuna mama etu anatuhudunia kwa digital beam balanceExactly, kuna mtu ashawai niambia kitu Kama hicho ila sikufatilia alisema iyo skanka inapatikana supermarket
anyway, naomba location ya chimboo
Ukiipata skanka apo chukua MkasiSkanka ndiyo habari sahvi watu wengi wanaipiga hiyo.....
Ova
View attachment 1887695nitafute p.m mkuu ninazo high grade za kwa king mswati achana na uchafu wa kigoma na morogoro utakuumiza kichwa na kifua
Teh teh....mkui ulishawahi ona kashata za bangialafu ukivuta skanka uendelee na skanka maana zinafungua ubongo kiasi ukivuta bush kush za karakana husikii chochote ndio madhara yake hayo Mie saiv bangi za jero nawasha hata kumi nikiwa na maji afu naingia kazini
Pamoja mkuu ..Aisee umechelewa kutumia hilo jani, Mimi nilikua nakunywa pombe nikawa napata maumivu ya kichwa,Nikaacha pombe nikaanza kuvuta jani,Halina tatizo cha msingi usivute na washkaji mavi, wengine vichwa vibovu hawawezi kuhimili wataanza kuleta fujohapo mahali mwishowe mnakamatwa wote,kula vizuri ushibe ingia mahali pa utulivu piga kifaa chako ujionee dunia engine.
Roll mwenyewe maana ukimpa kazi pusha anaweza kukuchanganyia madawa mengine ukawa teja.
Hakikisha inakua ni siri yako wewe mwenyewe na pusha.