Nataka nianze kula mjani

Hahah, aisee hii jani linalindwa sana.

Kuna wadau wanakwambia jani ni diet, linakondesha na kunenepesha pia ni wewe tu chague likufanyeje. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kiasi cha kujipimia tu nini unataka ..
 
Kuna member hapo juu kasema kuwa, ngoma ikikukataa ndo mazima jalalani .. kuna ukweli wowote hapo ? ..
Kuna ile mtu anasema, "kama ukoo wenu au familia yenu hakuna aliyewahi kuvuta basi ukivuta wewe lazima uwe chizi".

Haya maneno hayana ukweli wowote, ni sound tu kama sound nyingine. So tuyapuuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…