Nataka mtoto

Leo nimekaa chini nimewaza sana kuhusu maisha yangu in general, na nimegundua ninamiss kitu kimoja nacho ni mtoto nimetafuta kwa mda mrefu sasa mpaka nahisi mimi mgumba ingawa madaktari wameniambia nina uwezo wa kuconceive!
Naombeni maombi yenu wanajf ili angalau mwakani mwezi kama huu na mimi niitwe mama flani
Nipe hiyo tenda, bao moja tu unaanza kulamba ndimu na kuusaka udongo mrembo!
Sihitaji malipo wala senti tano, mi burudani yangu ni kukushughulikia kiunoni tu!
 
wamefanana copy right jamani hata huwezi uliza
hiyo haitoshi! lakini pia inawezekana wewe na mumeo hampo compatible, sio kimaumbile, hapana, ila ki-biology. Fanyeni utaratibu wa kuwaona specialist wa mambo ya uzazi kwa akina mama(gynaecology).
 
Kneeology willl help. But only and only if with your Husband. sio kuzaa watoto vikopo. Pray together with your husband. wakati wa sara na ibrahim ulipofika Isaka alizaliwa. na wewe wakati wako ukifika hakika utazaa kama ndio matamanio yako. Ila uwe ndani ya ndoa!!!!
 
hiyo haitoshi! lakini pia inawezekana wewe na mumeo hampo compatible, sio kimaumbile, hapana, ila ki-biology. Fanyeni utaratibu wa kuwaona specialist wa mambo ya uzazi kwa akina mama(gynaecology).

thanx dear
 
Kneeology willl help. But only and only if with your Husband. sio kuzaa watoto vikopo. Pray together with your husband. wakati wa sara na ibrahim ulipofika Isaka alizaliwa. na wewe wakati wako ukifika hakika utazaa kama ndio matamanio yako. Ila uwe ndani ya ndoa!!!!

umesikika.
 
Leo nimekaa chini nimewaza sana kuhusu maisha yangu in general, na nimegundua ninamiss kitu kimoja nacho ni mtoto nimetafuta kwa mda mrefu sasa mpaka nahisi mimi mgumba ingawa madaktari wameniambia nina uwezo wa kuconceive!
Naombeni maombi yenu wanajf ili angalau mwakani mwezi kama huu na mimi niitwe mama flani

Mungu atakupa mama yangu alikaa miaka 9 ndo akatuzaa na bila matatizo.ila ukipata tiba za asili(siyo uchawi)kwani kuna magonjwa mengi uharibu miji ya mimba bila hata kuonesha dalili kubwa kwahiyo hospitali wataona hapana tatizo.pia mwenza anaweza kuchangia kama mnatafuta wote kwa muda.
 
Endelea kuhangaika hospital na hata tiba za kina bibi za mitishamba na kuchuliwa. Asaa kheri. Mm my mom alikaa 10yrs ndoa akatuzaa. Inshaallh Km Mungu kakuandikia rizk ya baby utapata mwenye kheri na ww
 
kumbe umenitongoza?sina habarii

hahahaaaa...!!. Mkuu mimi nmejitoa kwenye hiyo tenda ya kukuzalisha. naona kama vile hauko serious. hiyo kazi ya kukusaidia upate mtoto namwachia JASON BOURNE. Mi napenda mtu akiongea kitu namsaidia maisha yanaendelea. na ukiendelea kuchelewa plan zako za kuwa na mtoto kipindi kama hichi itashindikana coz mtoto atakaa tumboni mwako miezi9. so hiyo tenda yako najitoa rasmi na maelekezo hapo juu zingatia. Mia
 
nashukuru sista kwa kulitambua hilo,kuna mtu alikua na tatizo kama hilo lakini saiv anaitwa mama fulani,kama vp nikuunganishe kwake kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom