Nataka mtoto

Kwa nini ulienda kwa dktr? Kama uko poa wewe vua nguo chagua tu gentlemen and handsome person ili mtoto wako asije fanana na mimi maana mimi sijawahi pendwa eti.
 
Kwa nini ulienda kwa dktr? Kama uko poa wewe vua nguo chagua tu gentlemen and handsome person ili mtoto wako asije fanana na mimi maana mimi sijawahi pendwa eti.

itakuaje afanane na wewe tena??pole kwa kutopendwa
 
mkuu kama vipi mimi nina uwezo wa kukupa uja uzito ndani ya mwezi huhuu lakini ukishakua na ujauzito usianze kuniambia nikuoe. mimi nataka nizae na wewe na mtoto tutamhudumia wote. kabla ya kuchovya tunaenda kwanza kupima ngoma. unasemaje hadi hapo? ni kweli unataka mtoto uzae na mimi? mia
 

nani kakwambia na shida ya ndoa wewe??
 
Kwa hyo,kwa kifupi we unatafuta jamaa wa kukugonga ili upate mimba then uzae sio?
 
patner wako nae alienda hosptl? Hana tatizo? Kama bado aende
 
Reactions: EMT
umesema nisije kukwambia unioe

mimi nachotaka ni kukuzalisha wewe ikifika mwakani siku kama ya leo uwe na mtoto. mimi nadeal na heading ya thread yako. tungeongea kwa pm, sasa kwakuwa hujibu pm mi naona tumalizane hapa hapa mbele za watu kwakuwa mtoto si kitu kibaya kuongea mbele za wanajf coz mwisho wa siku hawa hawa ndo watakao tupongeza tukishapata mtoto wetu. mia
 

naomba tulijadili hili kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…