Nataka kwenda ukweni nikakopeshwe mke

Nataka kwenda ukweni nikakopeshwe mke

Hahahaha,, vp na nyumba yako itakuwa ina house girl kweli mana usije ukamshushia moto beki tatu
 
Hahahaha,, vp na nyumba yako itakuwa ina house girl kweli mana usije ukamshushia moto beki tatu
Beki tatu ni msaidizi wa boss mkuu mama watoto akiumwa msaidizi anatoa huduma sio dhambi
 
inategemea,kama kigori hapana itakua ngumu ila kama kesha zalishwa au umri umeshakwenda,,,

chap kidogo utapewa buuure tena utapewa na kiinua mgongo hata laki 4/5 na baba mkwe,
Wakuu leo nimewaza sana hili swala la mimi kwenda kuoa, kiukweli sitakuwa na ule uwezo wa kutoa cash money yaani ile pap nitoe milioni 2 huku naitazama hapana,

ila nina mpango siku ya kwenda ukweni wanikopeshe mke kwa Riba isiyozidi 10%,
Nitakuwa nalipa kwa marejesho ya kila mwezi.

Sasa sijui kama kweli nitakopesheka ?

Cc Zero IQ
 
inategemea,kama kigori hapana itakua ngumu ila kama kesha zalishwa au umri umeshakwenda,,,

chap kidogo utapewa buuure tena utapewa na kiinua mgongo hata laki 4/5 na baba mkwe,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee
 
Mahari hua haiishi mkuu, wewe nenda tuu watakupa mke bila hofu utalipa mdgo mdgo.
 
Back
Top Bottom