Nataka kwenda ukweni nikakopeshwe mke

Nataka kwenda ukweni nikakopeshwe mke

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Wakuu leo nimewaza sana hili suala la mimi kwenda kuoa, kiukweli sitakuwa na ule uwezo wa kutoa cash money yaani ile pap nitoe milioni 2 huku naitazama hapana,

Ila nina mpango siku ya kwenda ukweni wanikopeshe mke kwa Riba isiyozidi 10%,
Nitakuwa nalipa kwa marejesho ya kila mwezi.

Sasa sijui kama kweli nitakopesheka ?

Cc Zero IQ
 
Kutoa mtaji wa biashara ya duka ili uoe wakati huna hata genge inaitaji moyo wa kiume kweli.[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16] tena unaoa alafu anakuja gheto anakupikia chai mbichi
 
Kumbuka TALA walikwambia kwamba kutokana na kutowalipa pesa yao basi watahakikisha hukopesheki popote pale. malizana nao TALA kwanza.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Tala wana mikwala mbuzi sana wale
 
Back
Top Bottom