Nataka kwenda kuchora Tatoo

Acha kukariri wewe, kitu kama hukijui kaa kimya. Kama umezoea za elf 50 sijui laki, funga kopo lako. Kuna watu wapo hapa uswahilin, unachorwa kutokana na rangi yako na sehemu unayoitaka
 
Wapo wachoraji wengi tu.kwani upo mkoa gani
 
Mwenyewe anajua ni haramu.hajaja kuomba kujua ni halal au haram.
Kauliza bei na mchoraji.naona mnamletea ngonjera nyiiingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe ndio nashangaa! Watu humu ndani wangeulizwa pombe wala wa kusema haram wasingepatikana,wameng'ang'ana wee kutoa ushauri kama vile wao ni malaika,hawana dhambi! Hawajawahi kutenda dhambi! Mtu ananishauri hivyo Mimi kua ni dhambi,ni haram huku yeye kalala na hawala sasa si ni sawa tu na mie nimelala na mume wa ndoa alafu nawaza Tatoo wakati yeye kalala na hawala anaiwaza haram yangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hiyo mambo.

Watu wengi waliojichora, nimegundua wengi wanajuta na wanataka wazifute.

Ni mambo ya mpito tu.

Huyo Mtu muhimu kwako kama ni Mpenzi, nakushauri usipoteze muda wako.

Mapenzi yenyewe haya tuliyonayo kudumu ni ngumu sana
Usikariri kua kila binadamu ana matatizo na mapenzi,alafu nielewe vizuri kwenye Uzi wangu sikuomba ushauri,mengine niachie mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chora tu dada, fanya kitu roho inapenda maisha mafupi haya. Hii miili ya dhambi haitaingia peponi kwani biblia inasema tutavikwa miili mipya.

Nina tattoo moja begani mwaka wa sita huu na sijawahi jutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtu ni yule uliempataga hapa JF?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Amina, ni maneno mazuri sana hayo na yana maana.

Mimi nikichora tattoo nitachora Msalaba mzuri sana.
 
Unaweza kusema vyovyote unavyojisikia,tukana vyovyote vile ila hainishtui hainisumbui kile naweza kukwambia sichori kwa ajili ya wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama watu wanaojielewa kama rubii wakiniruhusu nitakuonyesha ambavyo ulivyo mtu mzima ila akili zako aliyejuu ndiye anajua. Usisahau ulianza kuonyesha PM wewe na HR666 mlivyokuwa mnaombana, ukatueleza jinsi mume wako alivyotenguka kiuno, hukusita kutueleza unavyotaka kumfukuza mama mkwe ila ulinikosha ulivyosema wewe ni mtoto uliyezaliwa Tanga. Nakumbuka nilimuomba Sky Eclat asaidie wa kunyumba na nikamuomba pia mama wa shoka hapa JF NIMPENDENANI akusaidie. Mama hizi tatoo huwezi kuchora wakati una watoto (huo ni ulimbukeni na inaonyesha mumeo kiuno hakijapona unatafuta). Nitaendelea baada ya kukamua ng'ombe wa boss
 
Maashallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…