Aaaaah Aaaaah si uutume kwa Gari tuDuh ningekuagiza kuna kamchepuko hapo Mombasa Nina Zawadi yake nilikuwa natafuta namna ya kukafikishia.
Hahahaaah.......inawezekana!!Hamna haja ya passport, just bandika neno 'OLDUVAI GORGE' kwenye paji la uso, watakupokea kwa mikono miwili.
Ni kama Bongo tuSorry Molembe vp maisha kwa ujumla yakoje ,kodi kama BONGO?
Ok..Kama vp tunakutania ArushaPoa dogo ngoja niziweke ratiba vizuri...!!!
Kam kichwa cha habari hapo juu nataka kwenda kumtembelea rafiki yangu Kenya .
Passport ninayo ,nina uwoga kidogo sijwahi kwenda nje ya Nchi, naomba muongozo napitia Mombasa.
Natakiwa kuwa na nini, Na nini sitakiwi kuwa navyo,maswali hapo uhamiaji.
Mwenye experience please.
kuna magaid hukoKam kichwa cha habari hapo juu nataka kwenda kumtembelea rafiki yangu Kenya .
Passport ninayo ,nina uwoga kidogo sijwahi kwenda nje ya Nchi, naomba muongozo napitia Mombasa.
Natakiwa kuwa na nini, Na nini sitakiwi kuwa navyo,maswali hapo uhamiaji.
Mwenye experience please.
Nahofu sana hapokuna magaid huko
Githurai iko wapiNakuomba sana usifike githurai, huko watu wanaiba hata pesa ambayo unaitarajia kuishika, kule ukitaka kuandika sms, basi hiyo simu iwe mfukoni, maana ukiitoa tu, imeenda.
Welcome to Nairobery
..hahahahahahaha...we ulipolegeza yalikusibu yepi kwaniKama wapitia Mombasa kaza sura😀😀
Ipo eastlando Nairobi area, kama ni dar basi inafanana na mbagala.Githurai iko wapi
Hahaha.... Wakenya bhana.... Yaani sijui mibangi yao wanavutia chooni?Tanzania ipo kenya 😀😀
Kwahiyo usiogope
Umeshafika kenya zamaaani
Wewe nenda Mombasa alfu ujilegeze kama demu na wanapenda wanyoa viduku..Mimi ukiniona nasura ngumu kama nimelamba ndimu sura ya kiume..hahahahahahaha...we ulipolegeza yalikusibu yepi kwani
haaa haaa haaa sawa bosiUkienda tusaidie kupiga picha Olduvai ...uje utuonyeshe.