Nataka kwenda Kenya Kutembea

Nataka kwenda Kenya Kutembea

Nunua kenya money kabla hujaingia kenya utapata rate nzuri huku. Ukienda nrb kuna simba wametoroka national park wako mtaani sijui kama washawakamata wote.
 
Jiandae kukutana na vitu tofauti kabisa japo ni hapo jirani na Tz.Maisha ni magum kidogo pia change hela huku huku.
 
safi kakuze utalii pia, usisahau ulizia ''Olduvai Gorge'' ya kwao iko wapi wakupeleke! Ucende bure bro... Kitu amazing
 
Kama wadau walivyosema.. Passport.. Yellow fever vaccination card.. Ni muhimu sana.. Lakini pia kama unapitia Mombasa panda Tahmeed au Tawakal coach wako vizuri.. Lakini pia kuwa makini kwenye kubadilisha pesa... Safari njema
 
Nimekata Tahmeed vipi kwenye kuchange pesa? Mkuu muongozo
 
Angalia mkuu usijetupa taka ovyo ukadhani upo kwa sizonje. Alafu mtafute mpoto mwambie asirudi Tz raia tumesungusi tunaweza kumuharibia safari.
 
Angalia mkuu usijetupa taka ovyo ukadhani upo kwa sizonje. Alafu mtafute mpoto mwambie asirudi Tz raia tumesungusi tunaweza kumuharibia safari.
Aaaaah Asante sana Mkuu jambo la maana sana sikulifahamu
 
Mombasa Raha sheikh wangu!.,karibu Kiembeni ule japo nsima wa mama Nyambura!
 
Kam kichwa cha habari hapo juu nataka kwenda kumtembelea rafiki yangu kenya .
Passport ninayo ,nina uwoga kidogo sijwah kwenda nje ya Nchi naomba muwongozo napitia Mombasa .
Natakiwa kuwa na nini ? Na nini sitakiwi kuwa navyo,maswali hapo uhamiaji mwenye experience please.
Usibebe bangi.
Kama uko Dar naenda hapo Lumumba gari ziko tele. Utagonga Pp Horohoro pande ya mpaka ya Tanzania unaenda gonga tena Lunga lunga pande ya Kenya unafika Mombasa baada ya kuvuka Ferry Likoni.
Mwembe tayari ndio mwisho wa bus yako.ukiwa na swali uliza
 
Back
Top Bottom