Nataka kwenda Kenya Kutembea

Nataka kwenda Kenya Kutembea

Wewe acha kudanganya mwenzako.Kama hujui kitu sema hujui tu.Mambo ya mabasha na maboflo mnayajua wenyewe nyie watu wa shinyanga.Rudi kwenye viroba na bange kisha ukalale,unatia kichefuchefu!
Jamii forum ilitakiwa kuwe na interview ili watu wawe
wana jamvi vinginevyo kuna watu unadhani wanalala ndani ya zizi za mbuzi kwa mawazo wanayoleta wakati watu wanajaribu kupata uelewa wa kitu
 
Unaleta ubishi kwenye maswala usiojua.Nairobi tuko kila siku tunafanya kazi bila wasiwasi au shida yeyote.Wewe ulikomalia vijiweni hata pasipoti unayo?Hata dar mjini sidhani umefika wewe.Heri mwenzako ameshapanga safari,au unamuonea wivu?Wacha achape safari ajionee mengi,atakupa ripoti akirudi,kaa huko huko uliko,hivo hivo tu ulivo maanake watu wanaokatwa vichwa bila huruma huku Kenya ni wambea kama wewe!
Akili mkichwani mwake!!
 
Malindi utapata gari pale pale Mwembe tayari nauli ni kesi 250 kama hawajapandisha ni mbele ya kilifi.
Network uliuliza Vodacom unafanya through out Kenya lakini roaming huwezi itumia kwa mtandao na UK I pig is a in a kula Salio Tigo na airtel ni ubabaishaji kuna sehemu hazishiki.
Naona unampa mawaidha mazuri.Mimi pia sitamzingua nilikuwa naongelea jamaa wengine hapa wanamwambia mambo ya ajabu ajabu hata mimi mkenya nashangaa wanaiongelea nchi yangu au Malaysia!Kenya pia airtel ni ovyo.Vodacom na Safaricom zina uhusiano nadhani lakini namshauri Nyanya Mbichi akipata shida kwenye mawasiliano anunue simcard ya Safaricom.Simcard ya Safaricom ni Kshs 50 tu!Kenya lazima uwe na kitambulisho ili usajiliwe ukinunua simcard bila hicho hupati simcard.Kwa wakenya ni I.D card lakini pia wanakubali paspoti ni kazi rahisi na ya haraka.Sehemu za kununua na kusajili simcard ni zilezile za M-pesa.Kumbuka pia ukiwa kwenye mtandao wa Safaricom ndo utapata M-pesa,utatumia paspoti(nambari yake) pia kutuma na kutoa pesa kwenye M-pesa.
 
N

Nashukuru sana sana Mkuu umekua muongozo mzuri sana kwangu,mungu akubariki
 
Unaenda lini?? Ulete mrejesho kama kuna oldu vai gorge huko nako.
 
Mbona unasema unataka kupitia Mombasa wakati unaenda Nairobi? Mzima kweli wewe? Anyway nenda Mombasa na hata usiporudi baki Mombasa!
 
Huu uzi umenipa mzuka na mimi kwenda kutembea Kenya...ila nadhani niende Nairobi.. mwezi august naenda
 
Huu uzi umenipa mzuka na mimi kwenda kutembea Kenya...ila nadhani niende Nairobi.. mwezi august naenda
Hahahaah ukikaribia muda nistue twende wote kijana nikawe japo bodyguard wako huko.
 
Hamna haja ya passport, just bandika neno 'OLDUVAI GORGE' kwenye paji la uso, watakupokea kwa mikono miwili.
 
Back
Top Bottom