Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Brother Lucky sabasaba tafadhali kwa heshima na taadhima naomba uni PM email yako na kama utapendezwa na namba yako ya simu pia,soon nitahitaji muongozo wako wa kufika hapo falme za kiarabu kwa ajili ya vifaa vya ujenzi

Natanguliza shukurani
 
Namba katoa na email pia
 
Kwa vifaa vya ujenzi ni cheap kupita maelezo ila bati zipo juu,ndio maana siku hizi Tz utakuta mtu kajenga nyumba boma tu akaliacha,akaja Dubai kununua finishing material zote mpaka dirisha za aluminium utakalouziwa kwa tsh 300000 huku utalipata likiwa complete kwa tsh 42,000/rangi nyingi tunazotumia Tz zimetengenezwa arabuni very cheap.Tiles,sinks etc Furniture ndio kabisaa kuna kabati nilituma kuzunguka kariakoo nilikuta ni tsh 850,000 sikuamini macho yangu mimi nilinunua chini ya 250,000/,vifaa vya ujenzi havina ushuru mkubwa..isipokuwa cement ndio unatakiwa kukumbuka kuomba cheti cha ubora ili ikifika Tz Tra wasikusumbue,na cement wanaopata faida zaidi ni wafanyabiashara maana wakiweka kwa container kubwa ata wakitozwa ushuru mkubwa na wakauza kila mfuko kwa Tsh 8,500/ bado wana faida.vifaa vya umeme ndio kabisa mwaka jana nilinunua bunda la waya 1.5 kwa tsh 25,000..Kwa biashara ya nguo ni Thailand lakini kwa vifaa vya ujenzi,spare na electronics Dubai ni pazuri zaidi na sio mbali sana hivyo utumaji wa mzigo unachukua siku chache na gharama nafuu,kutuma container la ft 20 ni $1700 na kuna kampuni nyingine ni chini kidogo na ndani ya siku 10 mzigo upo port Dar.na kama utaki container kutuma kwa box CBM ni cheap pia.Cement nyingi inayotengenezwa Dubai sasa ina demand kubwa Qatar maana wana ujenzi mkubwa wa hotels na viwanja kwa ajiri ya world cup sasa bei imepanda wanauza tsh 3,900 kwa mfuko

Mkuu umetisha kwa maelezo! Urahisi wa wa kupata documents za cement quality ukoje ? Na ,je, nikitaka kuja kuchukua kontena moja la cement kwa ajili ya biashara ,una idea itanicost kiasi gani?
 
Mkuu umetisha kwa maelezo! Urahisi wa wa kupata documents za cement quality ukoje ? Na ,je, nikitaka kuja kuchukua kontena moja la cement kwa ajili ya biashara ,una idea itanicost kiasi gani?

Dar kuna maagent wenye uzoefu mzuri sana kwenye utoaji wa cement,wanajua kila tani moja ushuru ni kiasi gani,Doc ya ubora ni haki yako kupewa pindi unaponunua mzigo bila ata kuuliza supplier atakuandalia hiyo Doc..kama ukiisahau utawapa mwanya TBS ya kukuomba 'chai',nilipotuma mzigo siku ya kwanza nilisahau hiyo Doc,ilikuwa furaha kwa jamaa wa TBS.
 
Safi sana mkuu sabasaba umetupa mwanga, nikija huko ntakutafuta
 
Mwezi wa 6 Mungu akipenda nakuja ila bado nafikiria mzigo gani nije kufungasha kwa ajili ya biashara.. mtaji mil 3..nipe ushauri kaka sabasaba
 
Acha tu mkuu,maana kote kunalipa.Ishu ni TRA tu,maana wanaweza kukuharibia mpango wote na kodi zao ambazo hazipo well defined

Maelezo yote ni sawa! But usijaribu kwenda January Dubai kuna sikukuu zao wanaita dubai festival.Hoteli ni ghalama sana,kwani watu wengi wanakula raha tu.Mimi nilishuka pale tar 28.jan 2014,usiku na emirates,nilipata chumba saa 7usiku kwa dolla 136.2 kwa siku.Nilikaa siku tatu.Kulikuwa na punguzo emirates kidog😵nline booking ilikuwa dolla 585 but ofisini kwao ilikuwa dolla 635.Kwa mawakala ilikuwa dolla 650.Lakini sasa ni dolla 680 kwa mawakala ukifanya booking.January nilizunguka bila mafanikio,nikarudi hoteli nilipozoea kulala,wakanihurumia wakafuta booking ya mteja mmoja kwa kuwa mi ni mteja wao.Wizi hakuna kabisaa! Ukiiacha bongo salama basi umepona.Na wala Dubai usijaribu kutapeli kitu,security yao ni kubwa sana,wanauwezo wa kukutress popote kwa mitambo.Unaporudi best,Tabu kubwa ni TRA,wana njaa kali sana kama kawaida,na utapeli juu.Mimi ktk mizigo yangu walikomaa kwenye flash disk.Flash disk mia walitaka 1,500,000/- Ujanja wao wanakutajia pesa kubwa sana ili mbishanee angalau wasikose kitu flani.Ni wezi sana wale,mpaka unaweza juta kwa nini niliendaa.UKIFIKA DAR AIPORT JIANDAE NA HAWA WEZI TRA,WANAWEZA KUCHUKUA CHAO WAKAKUVUSHA KIAINA BILA RISITI LA TRA.Hawa ndo kikwazo kikubwa ktk biashara zetu hapa TZ
 
Kweli kabisa DEC-FEB ni mda mzuri kwa watu wanaotafuta kazi maana demand inakuwa kubwa si kwa mfanyabiashara hasa ukiwa mgeni,hoteli zinakuwa juu sana na bidhaa zenyewe pia,maana ulaya &Russia wanafunzi wanafunga shule kwa ajiri ya winter,wazazi wengi uwaleta Dubai mapumziko pia DSF(DUBAI SHOPPING FESTIVAL)inavutia watu toka kila kona duniani hoteli kipindi hicho zipo juu sana.TRA ndio kizingiti kikubwa kwa vijana wa nchi hii,nakumbuka sana kuna siku nilikuwa natoa mzigo bandarini ilikuwa ni container lililokuwa na vitu mbalimbali,hawa jamaa TRA walikuwa kama vijana watano wakaleta vizingiti wakati wa ukaguzi mmoja wao akawa wazi eti niwape 1.5ml ili mambo yangu yaende vizuri na kwa haraka,mfukoni nilikuwa na kama 90,000/Iranian Rial nikawaambia hii ndiyo niliyonayo(Kumbuka hii pesa ina picha ya kiongozi wao wa kidini Hayatollah mwenye ndevu nyingi)mmoja wao nikamsikia anasema mambo poa hii pesa ya mwarabu !!!!waliniangaikia mpaka nikatoa mzigo siku ileile...walichoshindwa kujua ni kwamba ile pesa haina thamani ata kidogo ile 90000 ni chini ya tsh 2000 wao walikuwa watano sijui waligawana sh ngapi ???
 
Vifaa vya electronic ni bei nafuu sana,shida iko hapa kwetu ushuru mkubwa pia kuna makampuni makubwa yanayofanya biashara hii yanafitina sana,hawataki soko lao liingiliwe na mtu mwingine wanashirikiana na TBS unaweza kuambiwa mzigo wako feki
 
Hawa Jamaa wa TRA wanaumiza wafanyabiashara, kodi wanapiga katika mfumo hupi yani kwa kontena au kwa mfuko wa cement, kwa mwenye uzoefu naomba atufahamishe kiwango cha kodi kwa mfuko ni kiasi gani.

Lucky sababa amesema gharama ya kusafirisha kontena 20ft ni kama USD 1700, Je katika hilo kontena inaingia mifuko mingapi
 
Candid upo sawa kabisa lakini kwa Arabuni nadhani ni tofauti kidogo,kipindi cha summer ni summer kweli ata wafanyakazi wa hotelini wanaombwa kuchukua likizo maana hakuna wageni,sasa kipindi hicho ticket zinakuwa cheap sana,nakumbuka mwaka jana nili invite rafiki kuja kutembea tulitumia Etihad airline Nairobi-Abu dhabi ilikuwa $300 two ways na Visa ya mwezi mzima $80,lakini kwa wazoefu hawanunui mzigo Dubai wananunua Sharjah ambayo ni nje kidogo ya Dubai..Lakini fanya uchunguzi wa nini unachotaka kununua na kodi yake kwa Tz.Mimi kwa mda mrefu sana huku sijawai kuona wafanyabiashara wa kongo au west afrika wakiwa mmojammoja,siku zote wanaungana na kuwa kundi la watu kama saba na kuendelea,faida yake ni kuwa wananunua mzigo mkubwa kwa pamoja hivyo wanapata punguzo kubwa(factory price)faida nyingine ni kwenye hoteli wanazofikia ambazo ni maalumu kwa wafanyabiashara vyumba vinakuwa cheaper maana wana share,faida nyingine ni pindi wanapotuma mzigo,container la futi 20 kulisafirisha toka Dubai mpaka Tz ni $1700 hawa jamaa uchukua container zima na kuweka vitu vyao sasa utakuta wanachanga kama $300 kila mmoja na mzigo unakuwa safe,faida nyingine ni kwenye ushuru,hasara pekee wanayoipata ni mzigo wao unakuwa unafanana kama wale wafanyabiashara wa nguo kariakoo ila wanapata faida kubwa sana.Hivyo nakushauri tafuta mtu mwenye biashara kama yako ili muungane biashara ya kusafiri nje kwa peke yako ni nzuri lakini ni nzuri zaidi kama ukiungana...Two heads are better than one...ukifika Dubai nitafute +971504374387
Je? Huko sharjah ni mashopping mall gani yanauza vifaa vya umeme/ujenzi kwa bei chee na ni umbali gani kutoka dubai.
Nalog off
 
Kweli kabisa DEC-FEB ni mda mzuri kwa watu wanaotafuta kazi maana demand inakuwa kubwa si kwa mfanyabiashara hasa ukiwa mgeni,hoteli zinakuwa juu sana na bidhaa zenyewe pia,maana ulaya &Russia wanafunzi wanafunga shule kwa ajiri ya winter,wazazi wengi uwaleta Dubai mapumziko pia DSF(DUBAI SHOPPING FESTIVAL)inavutia watu toka kila kona duniani hoteli kipindi hicho zipo juu sana.TRA ndio kizingiti kikubwa kwa vijana wa nchi hii,nakumbuka sana kuna siku nilikuwa natoa mzigo bandarini ilikuwa ni container lililokuwa na vitu mbalimbali,hawa jamaa TRA walikuwa kama vijana watano wakaleta vizingiti wakati wa ukaguzi mmoja wao akawa wazi eti niwape 1.5ml ili mambo yangu yaende vizuri na kwa haraka,mfukoni nilikuwa na kama 90,000/Iranian Rial nikawaambia hii ndiyo niliyonayo(Kumbuka hii pesa ina picha ya kiongozi wao wa kidini Hayatollah mwenye ndevu nyingi)mmoja wao nikamsikia anasema mambo poa hii pesa ya mwarabu !!!!waliniangaikia mpaka nikatoa mzigo siku ileile...walichoshindwa kujua ni kwamba ile pesa haina thamani ata kidogo ile 90000 ni chini ya tsh 2000 wao walikuwa watano sijui waligawana sh ngapi ???

mkuu niliwai wapa dolar feki nikachapa mwendi paa
 
Nasubiria jibu la hili swali kwa hamu kubwa sana.ila kuna thread humu nilisoma kodi ya kontena la moja la mifuko ya cement ni 1.2M mpaka 3.8M,kuna mdau aliagiza kutoka Dubai cement

Mkuu hiyo threau unaikumbuka uweke link yake tafadhali,hii biashara ya cement imenijia akilini sana.....
 
Mkuu hiyo threau unaikumbuka uweke link yake tafadhali,hii biashara ya cement imenijia akilini sana.....

Nadhani ni thread ya fursa ya biashara Thailand. kuna mtu alielezea jinsi alivyolipa ushuru wa kontena lake la cement toka Dubai.
 
Back
Top Bottom