Duu mkuu jibu gani hiloMuulize Mwingulu Nchemba.View attachment 2718959
Maswali mengine michosho,uhamiaji! Nenda!HABARI zenu wapendwa nataka kusafiri kwenda Burundi, BUJUMBURA Sasa napataje passport ya bei rahisi ya uhakika ya kukaa siku tano tuu sio ya kitabu
Mtafute KENGE 01Kama ni siku chache usipoteze hela, tafute wenyeji wakuvushe boda.
Sasa si na hela mkuu
Hiii inawafaa sana wanaotoka Kigoma na Ngara kuingia kinyemwela ukikamatwa ni hatari na magereza ya Burundi yalivyo usiombe brooKama ni siku chache usipoteze hela, tafute wenyeji wakuvushe boda.
Passport ulitegemea kuipata kwa muhamala gani?Sasa si na hela mkuu
Nimeambiwa kile hauendi mbali Ni maeneo yale yal