Dkt Mwijuma
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 205
- 614
Kuna pass ya mda inatoka kwa Tsh 40,000/ Uhamiaji wanatoa , lkn pia uwe na kadi ya homa ya manjano ambayo ukienda hospitali yoyote kubwa kuanzia ya wilaya wanatoa bure ama utoe hela upewe bila kupata chanjo,
Ukiingia mpakani itabidi utoe dola (usd) 15 kwa ajili ya kipimo cha corona (hii ni kwa upande wa Burundi) kwaiyo bila nauli yako inabidi uwe na kias kisicho pungua Tsh 120,000/
Ukiingia mpakani itabidi utoe dola (usd) 15 kwa ajili ya kipimo cha corona (hii ni kwa upande wa Burundi) kwaiyo bila nauli yako inabidi uwe na kias kisicho pungua Tsh 120,000/