Kuna lorry nyingine zaidi ya dereva hakuna ushantaBurundi haikuwa koloni la Ufaransa lkn mkuu ilikuwa chini ya Ubeligiji
Back to the point hii njia aliyosema jamaa ni ngumu sana maana hayo matruck now days hayaruhusiwi kubeba abiria sana sana utakuta ni dereva na utingo
Mm nimeshauri jamaa aende uhamiaji watampa hati ya kusafiria ya mda kwa Tsh 40,000/- tu tena ndani ya lisaa limoja tu
halafu nakumbuka mwaka 2003 mimi nilipata hati ya kusafiria kwa mkuu wa wilaya pale magomeni usalama
ilikua tsh/7000 enzi zile kwa mwaka.