Nataka kwenda Burundi, napataje passport?

Nataka kwenda Burundi, napataje passport?

Ni bahati yako tu hata popote bila passport unaweza ingia ila omba tu usidakwe
Nimekwambia kuna checkpoint tatu kutoka kabanga hadi unaingia cibitoke burundi ! Nina bahati check point zote hizo?
Ukiwa sirari hiko kikaratasi kinaingia hadi kisumu kenya yani kiroho safi!!
Passport kubwa ninayo ila huwa napenda sana kutumia hicho kikaratasi maana sipendi kuijaza pass na mihuri ya kiboya.
 
Back
Top Bottom