Nataka kuwa winga Kariakoo

Nataka kuwa winga Kariakoo

Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia dar kutoka singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika dar
Wingaa wa bidhaa gani ujasemaa ukamalizaa
 
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia dar kutoka singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika dar 🙏
Search humu humu utaona nyuzi za mawinga..
 
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia dar kutoka singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika dar 🙏
Unapenda Jezi namba ngapi?

Winga ya kushoto au kulia?
 
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia dar kutoka singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika dar 🙏
aliekupa Wazo la kuja kkoo kupiga winga ni nani?
maana kuwa winga kkoo lazima ufahamike na kuaminika na wenye maduka
 
Back
Top Bottom