Nataka kuwa PREMIUM Member.....

Tigo pesa, M-pesa zipo, semeni tuzipeleke wapi? invicible weka simu yako hapa watu tuchangie gharama alaa!
 
Mtumie Invisible mshiko huo soon unakua premium member!

Siku moja nilijiandaa kumtumia mshiko huyu jamaa baada ya kugundua anastahili kuchangiwa!, nilipoingia JF nikakuta amesitisha/amefuta habari ya msingi ya ufisadi wa JWTz (mnadhimu Shimbo) kwa maslahi binafsi. Basi niliamua kumpigia simu x wangu tukutane Paradise city hotel (kabla haijauzwa) jioni tufurahie tusahau yaliyopita!
 
Hapana kaka ungesikiliza upande wake wa pili maana sidhani kama alifuta kwa maslahi binafsi bali maslahi yetu sote tunaoipenda JF
 
Habari ya siku wapendwam

Nimewamiss sana maana sikuwa kwa jukwaa kwa muda kidogo but now nimerudi. Leo natangaza rasmi kwamba nataka kuwa JF Premium Member kwasababu nimekuwa naanzisha threads na bahati mbaya baadhi ya hizo zimekuwa zinapelekwa kwenye majukwaa ambayo sina access nayo.

Haya rasmi natangaza kutaka kuwa Premium member ili niwe na access ya kotekote.......:spy:
just make a wish! three times infront of mode. he will instantly upgrade you.
 
Mbona rahisi sana kuwa premium memba. Weka post fupi fupi zilizojaa upuuzi mwingi kama Mwita 25 au kesha ndani ya JF kama Rejao. Ndani ya wiki moja unakuwa premium memba. MODS inabidi mboreshe criteria za kuwa premium memba.
 
Alaaa!Kuuumbe!
 
Khaaa mbona mwita c mmojawao unamchokoza eeee!!!!!!!!!!!!

mbona rahisi sana kuwa premium memba. Weka post fupi fupi zilizojaa upuuzi mwingi kama mwita 25 au kesha ndani ya jf kama rejao. Ndani ya wiki moja unakuwa premium memba. Mods inabidi mboreshe criteria za kuwa premium memba.
 
Mbona rahisi sana kuwa premium memba. Weka post fupi fupi zilizojaa upuuzi mwingi kama Mwita 25 au kesha ndani ya JF kama Rejao. Ndani ya wiki moja unakuwa premium memba. MODS inabidi mboreshe criteria za kuwa premium memba.
Yaani watu wanatafutwa kudundwa hivi hivi! Unabahati tu hapa ni mwendo wa keybord, hakyanan tena ningekukuta uraiani lazima ningekupasua!
 
Ulichukua fomu za kugombea?
Kama hukuchukua, tutakupigiaje kura sasa?

Habari ya siku wapendwam

Nimewamiss sana maana sikuwa kwa jukwaa kwa muda kidogo but now nimerudi. Leo natangaza rasmi kwamba nataka kuwa JF Premium Member kwasababu nimekuwa naanzisha threads na bahati mbaya baadhi ya hizo zimekuwa zinapelekwa kwenye majukwaa ambayo sina access nayo.

Haya rasmi natangaza kutaka kuwa Premium member ili niwe na access ya kotekote.......:spy:
 
Kumbe kuna watu wengi sana wangependa kuwa PREMIUM members na wakatusaidia sana kuchangia JF ili iwe bora zaidi........INVISIBLE please tengeneza thread maalum kwajili ya hili au jibu hapa ukiweka alternatives za kulipia ili watu wajiupgrade
 
Yaani watu wanatafutwa kudundwa hivi hivi! Unabahati tu hapa ni mwendo wa keybord, hakyanan tena ningekukuta uraiani lazima ningekupasua!
Teh Teh Teh na nakujua wewe unatembea na JAMBIA kwenye msuli wako....................
 
Karibu kwenye chama mkuu..
Nadhani umepata maelezo ya kutosha jinzi ya kuwa PM...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom