Unaweza kujiunga na Chuo cha Upedeshee (CCU) kwa diploma ya Upedeshee King'amuzi. Chuo chao kipo Mabwepande. All the best.hapa mujini hawa ma Pdg aka pedegee wanachukua sana totoz nzuri zote! Wanaimbwa sana kwenye masong, watu wanawaogopa sana! Natamani kuwa pedeshee je nifanyeje?
Na wewe unataka kuchukua totoz nzuri?hapa mujini hawa ma Pdg aka pedegee wanachukua sana totoz nzuri zote! Wanaimbwa sana kwenye masong, watu wanawaogopa sana! Natamani kuwa pedeshee je nifanyeje?
ndiyo mamitoNa wewe unataka kuchukua totoz nzuri?
hapa mujini hawa ma Pdg aka pedegee wanachukua sana totoz nzuri zote! Wanaimbwa sana kwenye masong, watu wanawaogopa sana! Natamani kuwa pedeshee je nifanyeje?
Hili neno nadhani
lilitokana na wanamziki kutoka Zaire (Congo). Ni neno la kifaransa
"prodiguer" likimaanisha "wasteful au
tupatupa". Kwa hiyo kama hela yako sio ya kuhesabia chooni
unaweza tu ukatumia kifisadi na muda si mrefu tutakuita Monsieur
prodiguer au pedeshee, pedegee, pdg.