Nataka kuwa pedeshee

Nataka kuwa pedeshee

Kupata totoz kali sio lazma uwe pedeshee, mkwanja kidogo + kagari kadogo ka kula bata utapata wakutosha.
 
Nshakua laazizi tena.....!!
Taratibu kijana
Wakati huu, mamito, wa dot com, ni vyema nahaki ukawahi maana waswahili husema ujanja kuwahi, karibu PM. Usihangaike na wakosaji laazizi. Usiwe na wasiwasi hali hii haitatokea (bofya) wala hii (bofya). Mie kisiki cha mpingo, si kama huyu (bofya).
 
Erickb52 dear come this way umlipue huyu na b52
 
Last edited by a moderator:
Jiite Pedeshee Kenge kaka ya Mamba afu pita kwenye live band wanunulie waimbaji bia mbilimbili afu kiongozi wao muongezee na kuku robo na kiroba cha eleu miambili na SM au Embassy moja,wallah kesho yake utaanza kuskika, ukihitaji profeshno niPM

asanteeee
 
Hahahahahaaaaa
Kijana hujipendi eeh? Chocs naomba uje ukanushe mahusiano na huyu nanjilinji kabla sijahamia Airtel

Laazizi Chocs usijihangaishe, jaribu kumpotezea huyu jamaa maana muwa mtamu (nanjilinji) ambao haujatafunwa si sawa na (Erickb52) ule uliokwisha tafunwa na kumalizika utamu. Jini turudi PM yetu mpenzi. Kama kuhama alisha hamia Tigo si Airtel zamani.
 
Umetumwa na kiwatengu ee
Sidanganyiki mie
Kwa Erickb52 ndo nshafika
 
Last edited by a moderator:
mie nina c104 au insect drone. Usijali laazizi kwani mwanamke huwa hapendi anapendwa na roho yangu imekudondokea
Hata ungekua unamiliki vile visima vya kulee japan; mie hunikamati ng'o
 
Back
Top Bottom