Nataka kuwa pedeshee

Nataka kuwa pedeshee

sosoliso mkeo Paloma anasema kuna memba mpya wa klabu yenu ya mapedeshee

haaa Bishanga.. mie toka walivyomkamata papaa Msofe mutu ya pesa nyingi na kumlundika pale keko nimeacha kabisa mambo ya upedeshee.. gharama yake ni kubwa sana.. na waifu Paloma anajua.. kama huyu jamaa anautaka mwache.. ila ajiulize wanaishiaga wapi.. hivi yule papaa Jack pemba yuko wapi vle..?
 
Last edited by a moderator:

umenikumbusha mbali jack pemba na miss tz walivyomshobokea
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ha haaa, hilo tunalijua sisi my dear...... vijana acha wajirushe, kwa raha zao....
Hofu kwako rafiki

Wenyewe wana kamsemo kao, wanasema maisha sasa....niko ok mpendwa
 
Bishanga wacha kumumunya mumunya maneno hapa... hebu mkaribishe mwenzio khaaaaa!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom