Nataka kuwa Mchawi

Nataka kuwa Mchawi

Mshana jr msaidie kijana mwenzetu kuhusu elimu ya vitu anavovitaka madhara yake ba faida kama itakuepo
 
Soma You Forever na Wisdom of the Ancients,vitabu vya Lobsang Rampa. Mambo haya ukiwafundisha watu wakubwa,it is more or less a waste of time. Inafaa kuwafundisha to see what will happen.
 
Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.

Karibu
Mpigie shetani simu
 
Mimi hapana siwezi sitaki kabisa kumpeleka mtu kwenye matatizo, uchawi ni kama madawa ya kulevya kuacha ni ngumu na kadiri unavyouzoea ndio unataka zaidi
Haha ha kwahiyo ww unajuta
Mimi hapana siwezi sitaki kabisa kumpeleka mtu kwenye matatizo, uchawi ni kama madawa ya kulevya kuacha ni ngumu na kadiri unavyouzoea ndio unataka zaidi
 
Jifunze uchawi wa hapa , kwa malengo, ukishajua kupanda ungooo, utakuwa unaendea chuoni ulaya, nasikia ni bureee adi ulaya kwa ungo
 
Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.

Karibu
Ukipata uelekeo uni pm maana na mimi nataka.
 
Fuatilia huyu jamaa atakwambia chuo kizuri kinachotoa elimu safi ya uchawi

Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.

Karibu
Mkuu, Uchawi ni kazi ya Ibilisi. Nakusihi ubadili nia, utafute namna ya kuwa mtakatifu!! Utafaidika sana kwa ulimwengu huu na ulimwengu ujao (Paradiso). Mwisho wa wachawi wote ni katika ziwa la moto (Jehanamu). Nakusihi ubadili nia, mtafute Yesu sasa. Amen
 
Mimi nataka kuwa mchawi ila sitadhuru watu
 
Mbona jamaa hapewi ushirikiano,Ndg Mshana jr, Jichawi. mkwamueni M45 ana shida na mambo. Halafu hii tabia ya kunyimana ma-ujuzi sio nzuri, maana "huwezi kuniaminisha kuwa uchawi haupo" hapa Tz/Afrika na kwa nini vyuo viko mbali sana!!
 
Back
Top Bottom