Nataka kuwa Mchawi

Nataka kuwa Mchawi

Katika kufunzwa uchawi ni lazima uuwe ndugu yako, uko tayari Mkuu?
 
Mkuu M45 chuo kipo kulee mbali labda uulizie fomu za kujiunga zinapatikana vipi pamoja na maelekezo mengine.
Sasa form za kujiunga zitapatikana vipi wakati chuo kiko ulaya?
 
Hahahaaaa..... form zinaweza kupatikana hata kwenye internet, jaribu bahati yako usichoke Mkuu.
Tatizo pesa mkuu nataka hapa hapa kwetu uswahilini
 
Back
Top Bottom